KKKT wamemaliza kesi, mliokua mnasema Waislamu ndio wana support kwaajili ya udini je Askofu Shoo na yeye ni muislamu?
 
Nikiwa kama mtanzania, mwenye kuipenda,nchi yangu, Mimi ni din tofaut, lakin katika hili! Naungana kujitoa na kuto ukubar huu mkataba
Namimi naenda ijumaa kumjaza mama moyo akodishe tukonyuma yake tuepukane nahao wezi wanaliangamiza taifa wamezoea kupitisha vitu vyao bure mmekwama sasa
 
Namimi naenda ijumaa kumjaza mama moyo akodishe tukonyuma yake tuepukane nahao wezi wanaliangamiza taifa wamezoea kupitisha vitu vyao bure mmekwama sasa
Hata hujui unaongea nini. Si ajabu kwenu ndiyo msomi.
 
Nikiwa kama mtanzania, mwenye kuipenda,nchi yangu, Mimi ni din tofaut, lakin katika hili! Naungana kujitoa na kuto ukubar huu mkataba
Wiki ya pili ya kusomwa waraka bado wiki 5.. Namimi nitatafuta muda niende
 
Nikiwa kama mtanzania, mwenye kuipenda,nchi yangu, Mimi ni din tofaut, lakin katika hili! Naungana kujitoa na kuto ukubar huu mkataba
Watu wote wenye mapenzi mema na Nchi yao watafanya hivyo
 
Hata hujui unaongea nini. Si ajabu kwenu ndiyo msomi.
Huyo mleta mada ndo zuzu kabisa.. huko juu bandari kaandika bandafi, dini kaandika din, kutoukubali kaandika kuto ukubar.

Pengine mleta mada ni mtu mwenye cheo kikubwa tu huko anapokwenda kusali jumapili.
 
Umelipwa kiasi gani na CCM kuandika waraka mrefu kushinda walioandika balaza la maaskofu? Nyie umbwa si mbinafsishe kisiwa cha Zanzibar au TANESCO kuliko bandari
Pole sana Bandari ndio hiyo imeenda
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Kanisa Katoliki achana nalo kabisa! Lina idara mbalimbali zenye wataalamu kuliko unavyofikiri. Mambo ya kilimo linawatumia wataalamu wake wa kilimo; afya, wataalamu wa afya; uchumi, wataalamu wa uchumi; sheria, wataalamu wa sheria; elimu, wataalamu wa elimu; ndoa, watu wenye uzoefu wa maisha ya ndoa na wanaoishi kama mfano kwa wenzao; wavuvi, wataalamu wa uvuvi etc. Na lime'invest' katika kuzalisha hao wataalamu. Sehemu ambazo kanisa ni minority na majority mfano ni Waislamu, linawapeleka mapadri wake kwenye vyuo vikuu vya Kiislamu kujifunza historia, Qur'an, Islamic theology na lugha ya Kiarabu ili iwe rahisi kufanya kazi katika maeneo hayo kuliko kupeleka mapadri ambao hawana background ya imani hiyo. Ni hivyo hivyo hata kwenye maeneo mengine. Mfano, kama Kanisa limezungukwa na watu wengi ambao ni traditional believers, pia Kanisa linapeleka mapadri walisoma world and traditional religions kusudi iwe rahisi kuanzia mahali fulani. Kwa sasa majimbo mengi pia yanawapeleka mapadri wake kusoma sheria za nchi na baadhi kuwa mawakili. Kuna mapadri na watawa madaktari, psychologists, psychiatrists, counsellors etc. Si hata ulishaona kuna miaka ya hapo nyuma kuna sista (mtawa) alihitimu Law School?

Tafsiri ya uinjilishaji kwa Kanisa Katoliki ni mtu kama alivyo (kiroho, kimwili, kijamii, kiuchumi, kisiasa etc). Kwamba unampomhubiria muumini wako ni lazima u'address' mahitaji yake na preoccupations zake - hapo ndipo anapopata ujumbe sahihi anaouhitaji. Mfano, mtu anayehitaji maji ya kunywa huwezi kwenda kumhubiri kwa Biblia. Mpe kwanza maji anywe. Mtu anayehitaji chakula, mpe kwanza chakula, mtu anayehitaji nguo, mpe kwanza nguo avae, then mhubiri etc. Uki'miss' hapo there is no evangelisation in the real sense.
 
72K viewers across the country and beyond is something very serious to be acknowledged by the sitting regime to concede criticism as advised in the priest's statement on the DPW IGA saga otherwise the future is marred with uncertainty.
 
Mihimili ya Serikali iko mitatu:

1. BARAZA/EXECUTIVE

2. BUNGE na

3. MAHAKAMA.

TEC sio muhimili wa Serikali.
 
Mihimili ya Serikali iko mitatu:

1. BARAZA/EXECUTIVE

2. BUNGE na

3. MAHAKAMA.

TEC sio muhimili wa Serikali.
Ni mhimili wa Serikari usiojulikana.
Ndio maana unawaona hapo walipo.

Usije kuwabeza, wako vizuri kupita unavyo fahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…