Kama haikuhusu tuliza kalio usingechangia tungekuelewa tu haikuhusu
 
Rais ndiye mwenye maamuzi na Serkali yake hivyo wanapaswa wasiingilie mambo ya Serikali.

Ni kibuli na kujiona wao ndo nchi kutoa matamko hovyo. Haya mambo yakiendekezwa siku yatakuja kulivuruga hili taifa. Wanatakiwa wajitambue
Rais hana mamlaka, mamlaka ni ya wananchi... Tukitaka muda wowote anatoka hapo... Shenzi wewe.
 
Una uhakika gani kama ni hao?? Na je kama walifanya hivyo ndo unataka hayo makosa waliofanya yarudiwe tena? Yani wasitetee masilahi ya nchi kisa makosa ya nyuma yaliotendeka
Wewe unaniuliza suala la uhakika ina maana hujui yaliyotokea kati ya fedha za malipo ya umeme escrow account na Benki ya mkombozi? Utakuwa mtoto wa juzi wewe. Nashauri serikali imuagize CAG akakaguwe pale watanzania tutapigwa na mshangao.
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Wewe unawajua maaskofu wa katoliki au umesimuliwa? Shule imepanda hapo.
 
Safi sana
 
Huwezi kuweka ukomo kwenye IGA as IGA imesema rights and responsibilities zitakuwa kwenye HGA
Unaumwa wewe. Kilichojadiliwa bungeni ndicho kina nguvu kisheria. Hizo HGA zitaongozwa na IGA na kamwe hazitajadiliwa kwenye mahakama za usuluhishi
 
Wameupiga mwingi sana mpaka unamwagika.
 
Mkataba upo pale pale hao maskofu hawawezi kuipangia serikali.
tubeti mimi na wewe au yoyote yule. naweka rehani nyumba yangu. mkataba ukipita nakukabidhi hati iwe yako.

ila na wewe kuna sharti langu moja muhimu itabidi ukubali kulitekeleza endapo kama mkataba hautakuwepo.

taja location yako nije na mwanasheria wangu tuandikishiane mbele ya mashahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…