Uaskofu ni tofauti na ushehe, ili uwe askofu inakulazimu uende shule ukasome na utoke na kitu kizito.
Theolojia Kama slaa,yaani kusoma Maryam alipata mimba bila kutiwa,akazaa mtoto ambaye ni mwana wa Mungu na ndo Mungu mwenyewe,hivyo ni vitu vizito!?
 
Namsubiri mangi wa KKKT na yule wa Safina ya Nuhu kutoka Dodoma nao wafanye hivyo hivyo, asante sana maaskofu wetu.
 
Wewe unawajua maaskofu wa katoliki au umesimuliwa? Shule imepanda hapo.
Shule ndio inawafundisha wizi? Watueleze kwanza kwanini fedha za umma ziliingizwa kwenye benki yao mpaka maaskofu wakapewa mgao? Hawana utashi wa kutuambia mambo ya bandari wakati wao wenyewe majambazi.
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.

Mkuu hii ibara wewe unaikubali Serikali yako ifanye huu upuuzi?
 
Sauti ya watu ni sauti ya mungu aiseeh mama anapaswa abadili maamzi haraka Sana kabra mungu hajafanya maamzi
 
Sikushangai kabisa, ikiwa wanakulisha mavi na kukuaminisha kula nyama ya matu ni uongofu na unakubali, nikushangae kwa lipi lingine?


View: https://youtu.be/j3awxdlFB8k
 
Ni kama vile mambo yanatendeka kwa haraka sana tena yakiwa yamebeba uzito mkubwa

Tumuombe Mungu wa mbinguni atujalie Hekima yake tuweze kuvuka kwa sababu ni dhahiri tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki litazua Mjadala mpya

Jumaa Mubarak!
Una uhakika walioongea Jana ni viongozi wa dini au viongozi Wenye dini?
 
Namsubiri mangi wa KKKT na yule wa Safina ya Nuhu kutoka Dodoma nao wafanye hivyo hivyo, asante sana maaskofu wetu.
Mkuu mimi ni Lutheran lakini Maaskofu wangu hawawezi hii kitu, wao kazi yao kulamba miguu wakubwa.
 
Huu mkataba unaweza ukawa ndio chimbuko la mifarakano mikubwa Katika nchi yetu, bara na visiwani kisa DP hatuangalian vizuri, Waislamu na Wakristo hawaangaliani vizuri kisa DP, Tulipofika tuishie hapahapa tukiendelea zaidi tutadumbukia shimoni
 
Mfumo unaopinga mabaya ni mfumo mwema
 
Mkuu mimi ni Lutheran lakini Maaskofu wangu hawawezi hii kitu, wao kazi yao kulamba miguu wakubwa.
Hah hah kwa kweli hata mimi wananishangaza wamekaa kimya utadhani wao hawaathiriki, ukimya wao ndio unawapa nguvu RC waonekane wana uzalendo zaidi na watu kuwaamini wao.
 
Sikushangai kabisa, ikiwa wanakulisha mavi na kukuaminisha kula nyama ya matu ni uongofu na unakubali, nikushangae kwa lipi lingine?


View: https://youtu.be/j3awxdlFB8k
Kuukubali huu mkataba ni utumwa, achana na mambo ya udini mama haukufikishi popote, sio wewe wala wanao na wajukuu zako, tusimamieni rasilimali zetu, huwezi mkaribisha mtu kwako akakupa masharti magumu kiasi hicho, mpumbavu pekee ndio anaweza kuburuzwa hivyo.
 
SSH ushauri umeusikia lakini sio lazima kuufata.

👉Uwekezaji wa DP WORLD ni kwa manufaa mema ya nchi yetu watake wasitake ni muhimu uwekezaji ufanyike hakuna kuuacha.
 
Hivi hawa wanajiita maaskofu nani kawadanganya kuwa kwenye katiba ya nchi hii wana uwezo kutoa maamuzi ktk mikataba ya serikali?
Shida kubwa inatokana na akili ndogo. Wao wameshazoea kuona kondoo wote wanawapigia magoti na kuwaomba msamaha ili wawasamehe dhambi sasa wanadhani huo uongo wao wa kujipa cheo cha kusamehe madhambi utaifanya serikali na wananchi waone na wao wa maana.

Mi nasema tafadhali sana .
Maaskofu nyie kaeni huko huko mkidanganya kondoo na kula hela zao. Serikali iacheni ifanye kazi yake.
Haitoshi kula hela za bure kila siku sasa mnataka kujiingiza kwenye kazi zidizo wahusu?
Msituharibie nchi tafadhali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…