Umenena mkuu kila mtu anaupinga huo mkataba hata mimi siutaki
 
Hiii inahusiana nini
Na nilichokuuliza?
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Anayemuona hapo ni mtaalamu wa Sheria ...unaowajua wakasome upya .....
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Hakuna mwenye certificate wala Diploma hapo....nikuanzia degree na kuendelea tofauti na Maulid Kitenge
 
Mnachanganya mambo tupo kwenye agreement bado hatujaingia kwenye contract
 
Ukisoma maelezo ya Baraza Kuu la Maaskofu Tanzania hadi raha, Kiswahili kizuri na chenye mpangilio unasoma mstari kwa mstari aya kwa aya kila kitu kimepangiliwa na kunyooka …
 
Kesho bakwata nao wanakuja na tamko lao kuunga mkono mkataba wa bandari

Inakuaje hapo
 
Na wakati fedha za watanzania zilipopitishiwa kwenye benki yao na baadhi ya maaskofu kupewa mabilioni ya shilingi walikuja na tamko gani?
 


Roman Reigns..
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…