Kwan nyie akina salama leku mnateseka sana niwambie kitu hii nchi ni ya kikristo na maasikofu ndo wenye sauti ya mwisho kama hamtaki fanyeni mnavojua halafu kama mama hataondoka akiendesha gari bila hata msaidizi
Pole!
Yaani wenye nchi wakristo halafu ndo mnalialia kwenye matamko na kumwomba Rais!
 
Kwan nyie akina salama leku mnateseka sana niwambie kitu hii nchi ni ya kikristo na maasikofu ndo wenye sauti ya mwisho kama hamtaki fanyeni mnavojua halafu kama mama hataondoka akiendesha gari bila hata msaidizi
Bandari ishauzwa kama hamtaki rudini kwenu Vatican
 
Kwan nyie akina salama leku mnateseka sana niwambie kitu hii nchi ni ya kikristo na maasikofu ndo wenye sauti ya mwisho kama hamtaki fanyeni mnavojua halafu kama mama hataondoka akiendesha gari bila hata msaidizi

Wewe acha kutisha watu Dp world wapo na watapewa bandari alafu tuone tutawashuhurikia kama tulivyo washighulikia wapemba shubamit wewe
 
Acheni kuleta udini hapa, kwani akiwa mkatoliki haruhusiwi kuhoji??

Inashangaza sana mtu kusema mbona wakati ule hukusema na sasa unasema, sasa wakati ule kuna bandari iliuzwa?
 
Kauli ya Tec mmeapagawa humu na bado"MTATEMA ULIMI"
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
We hujasoma maelezo yote jinsi walivyochambua. Umerukia ku-comment. Hoja zimechambuliwa kwa kina. Waambie serikali yenu iwaite nao wahaini, nyambafu
 
Sema TEC walipoenda sio kwenyewe kabisa, nachoogopa, vipi kesho KKKT wakikubali kisha TAG wakapinga na Bakwata wakaukubali? Tunakuwa tunaanza kudiscuss mkataba kwa msingi wa dini na sio tena siasa na utanzania,

TEC wao kama kupendekeza mawazo nashauri wafanye nyuma ya kapeti ila sio mbele ya camera
 
Hakika kwa tamko lile Mama anayo machaguo Matatu tu:

1. Aachane na DP World

2. Afanye marekebisho ya mkataba kwa kuurudisha Bungeni

3. Ashupaze shingo.
Mi naona atashupaza shingo mana kaukomalia mkataba kwa mda mrefu sana, sijui na yeye yumo kwenye hilo lidpworld?
 
Naona watu wanadhihrisha yaliyojificha nyoyoni mwao Hadi imefikia hatua Leo inapimwa uelewa Kwa kipimo Cha degree aiseeeeee...
Tanzania inapaswa irudi Tena miaka 100 nyuma labda tutajua wapi palikosewa na waasisi
 
Tec hawajawahi nyamanza hata wakati wa jiwe
 
Pia sio mbaya ukasema ujumbe wao imegusa wapi maslahi yako🤔
 
Teh teh teh 😂😂😂 yule jamaa alikuwa kiboko kweli kweli..

Kama ni ukweli basi hawakuwa makini tu maana tabia za yule jamaa zilionekana toka awali.

Anyway KKKT walifanya vyema kumkosoa kwenye ule waraka wao japo aliwapiga mkwara ila walifanya vyema.
 
Roma mythology ndiyo inayovunja democracy hapa Tanzania,ndiyo inayotupa marais wa kiroma kila wakati na ambaye siyo mroma anaonekana hafai,
We need to change this attitudes! Quickly as soon as possible!
Kila tukipata kuongoza wa dini ya kiislamu huwa anaongoza nchi vizuri sana! au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…