Nilisema hapa narudia tena.. lile tamko la Tec litawatoa watu mapangoni kila cku 🤣🤣 tumeona tang jana humu migambo wanaruka na kukanyagana!! NB; Taasis za dini zote kuna utaratib serikali iliweka kuhusu mali za taasis za kidini kupitia bandarini!! Pia kanisa Catholic halitegemei huruma ya serikali yoyote duniani
 
Kumbe ni Mkataba!
Urekebisheni basi kazi iendelee
 
Dr Slaa kipindi cha UKAWA alikataa kuwa 'mshenga' , naona sasa amekubali kuwa mshenga.
 
Kuondolewa kwa TICTS bandarinj ni maumivu makali sana kwa kanisa Katokiki kwa sababu walizoea kupitisha vitu bure kwa sababu ya Karamagi kuwa mmiliki wa TICTS.
Kanisa katoliki na taasisi zingine za dini zina exemption ya kodi ya serikali kwa vifaa vya ibada na vya hospitali zao. Wabunge pia wana exemption kama hiyo wanapoingiza vifaa vyao vya kibunge hususani mashangingi. Kodi hizi hukusanywa na mamlaka yetu ya mapato, TRA. Kwa hiyo unamaanisha DP World itakapotinga hapo bandarini, yenyewe ndiyo itakusanya hizo kodi na hakutakuwa na msamaha kwa hivyo vifaa vya makanisa wala mashangingi ya wabunge? Kama ndivyo hivyo kwa nini sasa unakataa kwamba DP World wametunyang'anya sovereign ya bandari zetu?

Huyo Karamagi hakuwa mmiliki wa TICTS. Hiyo ni kampuni ya wachina kutoka Hong Kong. Ilipewa masharti ya kuuza kiasai cha shares kwa watanzania, Karamagi ni mmoja wa hao watanzania wengi tu walionunua shares kwenye kampuni. Kama unavyojua bombastics za Wahaya, Karimagi alijifanya ndiye owner wa TICTS na watu kama nyie mkaamini ni kweli.
 
We andika tu utumbo wako mrefuuu na ushuzi mwingiii lakini ujue tu tutakapouzwa utakuwa wakwanza kuf*ilwa mbwa wewe. TEC wametoa sababu hayo mavi yako unayajua mwenyewe. Shivji nayeye Huwa anaingiza nini amewahi kukuingizia kitu gani huko nyuma?
 
Mahangaiko ya nini? Jamani si tuanze upya? Rekebisheni mkataba, tangazeni tenda globally, Hata DP world wakiupata kwa mkataba wenye maslahi kwa nchi na shirikishi watapewa bila hiyana! Huu UDINI na upumbavu unatoka wapi?
 
 
Time shall tells..
Hii sio Nchi ya kidini, haya matamko ya mabaraza ya kidini yanayotolewa wakati mkataba umesharidhiwa na Bunge yapuuzwe. Pia iko wazi wengi WA wanaopinga, NI kwamba walikuwa na maslahi binafsi. Wakubwa wawili au watatu WA baraza waliokuwa na maslahi binafsi wanashinikiza ionekane NI tamko la Baraza. Mwenyeezi Mungu awasamehe na awaongoze.
 
 
Huijui kauli ya Roma Brother!!
Kaa mkami wa kutulia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…