Nikufahamu ili iweje? Unashindwa kujibu swali dogo tu hilo.
Escrow maana yake ni nini?
Mzee issue za Propaganda sisi tumeiva nenda shule upya.
Kama hujibu hilo swali wewe ni shetwani
Nani kasema nimeshindwa kujibu? Hata unaelewa mantiki yangu hapa?

Nani analeta propaganda humu? Kama wewe ndo mwana propaganda mimi sio mtu wa propaganda. Mimi ni mtu wa facts
 
Nani kasema nimeshindwa kujibu? Hata unaelewa mantiki yangu hapa?

Nani analeta propaganda humu? Kama wewe ndo mwana propaganda mimi sio mtu wa propaganda. Mimi ni mtu wa facts
Haya jibu swali Escrow maana yake ni nini?
 
Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.

Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Serekali zinazoingia madarakani kwa kupora chaguzi za nchi zina heshima gani boss? TEC wametekeleza wajibu wao. Hawana sababu ya kuendelea tena kukaa kimya kwa kuhofia huo upuuzi uitwao kuwagawa wananchi. Ukimya wa hizo taasisi za dini ndio umechangia mikataba mibovu ambayo inatugharimu hadi leo.

Chaguzi za nchi zimekuwa zinaporwa waziwazi na kupata serikali za majizi, huku taasisi hizo za dini zikiendelea kukalia kimya uhayawani huo, eti kisa zikiongea zitaonekana zinataka kuwagawa wananchi. Enough is enough.
 
Umezaliwa mwaka 2015 nini?

Hao Maaskofu walipiga pesa za umma za escrow alafu watu waliongea sana ila hawakuwahigi kutoa waraka kulaani tukio hilo na wala hawakusema sauti ya watu ni sauti ya Mungu
Kuna ushawishi wa Father Kitima, ni mwanasiasa wa CHADEMA mwenye kuongea kinafiki mbele sana mbele ya Samia lakini akiondoka tu jukwaani ni kinyonga mbaya.
 
Tamko la TEC lina mashiko lakini NAOMBA MADHEHEBU MENGINE YAKAE KIMYA ILI TEC WAPAMBANE WENYEWE KWASABABU NAO HUWA HAWANA USHIRIKIANO NA WENGINE WANAPOTOA MATAMKO YAO. TATIZO LA TEC NI UBINAFSI NA KIBURI KWASABABU WANA WAUMINI WENGI ZAIDI.
Siku KKKT , Sabato, Anglican au Waislamu wanapotoa matamko tena ya haki kabisa huwezi sikia TEC wakiunga mkono. Alikamatwa Maalim Seifu na Waislamu kibao na kushikiliwa na kupewa kesi kubwa HATUKUISIKIA TEC, Alipokamatwa Mbowe na kupewa kesi kubwa HATUKUWASIKIA.
Leo kakamatwa Mkatoliki Slaa NDIO WANAPAZA SAUTI.

TEC NI KWAAJILI YA WAKATOLIKI
 
Huyu kijana akajinasibu kuwa yeye ni mkatoliki. Kwanza nataka nimwambie tu ukatoliki haupo katika kujitambulisha bali upo katika kufanya kwa vitendo.[emoji419][emoji375]
 
mbwa wewe
 
Ndugu chawa wa mama umefuka moshi wa kuni mbichi. ID yako tu inatosha kukuhalalishia kufuka moshi wa hivi.
 
Sio Mwanasheria tu. Mwanasheria nguli na makini. Kaa nalo hilo kichwani lako
Unaziaibisha taaluma za watu wewe ni Mbumbumbu huna uanasheria wowote una ulizwa swali dogo unapuyanga una uanasheria gani wewe acha kuziaibisha taaluma za watu Mbumbumbu wewe, eti unamwambia aka-google alafu unajiita mwanasheria rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…