Mimi nakupinga kusema kuwa nchi yeti inamihimili mitatu.Tanzanian inamhimili mmoja tu wa urais.Ndugai alikuwa spika wa bunge lakini alifukuzwa usipika na rais.mahakama huwa zinapigiwa simu kuelekezwa kuamua kesi kwa kuegemea matakwa ya rais.Kama mgawanyo wa madaraka hawaufati basi TEC ndiyo watabaki kuwa watetezi maana wanasimamia amri kumi za Mungu ikiwamo ya kupenda jirani kama unavyojipenda wewe.haiwezekani rais ajipendelee kila kitu huku wananch wananyimwa haki
 
Jibu swali. Je, wahusika walipata pesa zao?
A. Ndio
B. Hapana
C. Sijui
Lazima nijue unamaanisha wahusika gani iki nikujibu vizuri? Lazima nijue pia kama umeelewa sakata la escrow kwa Tanzania lilikuwaje ili nikujibu vizuri
 
Yaani mtahaha sana..!! Tamko la TEC limewapiga na kitu kizito kiasi cha kuwaletea MUHAHO
 
Lazima nijue unamaanisha wahusika gani iki nikujibu vizuri? Lazima nijue pia kama umeelewa sakata la escrow kwa Tanzania lilikuwaje ili nikujibu vizuri
Kwahiyo huwajui wahusika? Unaujua mkataba ulioanzisha Akounti ya Escrow?

Jibu swali. Je, wahusika walipata pesa zao?
A. Ndio
B. Hapana
C. Sijui
 
Malizia basi:

25 Baba mwenye haki, ulimwengu haukukujua; lakini mimi nalikujua, na hao wamejua ya kuwa ndiwe uliyenituma.
 
Kwahiyo huwajui wahusika? Unaujua mkataba ulioanzisha Akounti ya Escrow?

Jibu swali. Je, wahusika walipata pesa zao?
A. Ndio
B. Hapana
C. Sijui
Umeelewa maswali uliyoulizwa? Au umeanza kuona umebanwa unatafutia pakutoka?

Twende taratibu na wewe jibu maswali yangu. Sasa ngoja nikuoneshe kwa nini nakwambia mimi ni mwanasheria nguli?

Swain wewe!!

Jibu maswali yangu. Ndo nikuelezee sasa!!
 
Tena na JPM alishasema muhimili wake ndo umeenda mbali sana. Jiulize, nani anateuwa jaji?
 
Malizia basi:

25 Baba mwenye haki, ulimwengu haukukujua; lakini mimi nalikujua, na hao wamejua ya kuwa ndiwe uliyenituma.
Nimekuwambia Biblia haisomwi kama masahafu. Biblia inasomwa na watu wenye uelewa mpana tu siyo vijana wa madrasa.

Yohana 10:30 Yesu akasema kwamba, “Mimi na Baba tu umoja.”
[30] I and my Father are one.
 
Rubbish
 
Kuna nguvu ambazo huwezi kuziona kwa macho kwamba ukasema nguvu ile paleeee inapita.
 
Ule mgao haujapata ? na ule wa kumsafisha mama Tibaijuka ,wewe sio kiongozi wa kanisa ni kondooo tu mgao haukuhusu .

Acha kutetea ujinga tunadili na viongozi wako we hujui kitu.
 
Malizia basi:

25 Baba mwenye haki, ulimwengu haukukujua; lakini mimi nalikujua, na hao wamejua ya kuwa ndiwe uliyenituma.
Usirudie tena kuja na elimu yako ya madrasa kuanza kulipinga neno la Mwenyezi Mungu.

Biblia haisomwi kama unavyosoma vitabu vya madrasa. Biblia ni NENO LA MUNGU lenye uvuvio wa kiroho.

Soma YOHANA Sura ya Kwanza
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
 
Nimekuwambia Biblia haisomwi kama masahafu. Biblia inasomwa na watu wenye uelewa mpana tu siyo vijana wa madrasa.

Yohana 10:30 Yesu akasema kwamba, “Mimi na Baba tu umoja.”
[30] I and my Father are one.
vipi hapa, Muungano ulivunjika:

46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
 
Hapo ndio Huwa mnajichanganya nyie wasomi wa Kiislamu. Sina mashaka hata kidogo kuwa wewe umesoma, lakini dini Bado ina ku drag mad! Umezungumza mambo mengi lakini unakosa tools of analysis.kwanini? Unachanganya hoja.
Kwanza hakuna mtu hata mmoja anaye kataa uwekezaji !
Pili, aliyeikataa Do world, wote wanakataa vipengele vilivyomo kwenye Mkataba.
Sasa kama DP World ni waislamu au Methodist mnajua nyie.
Sisi watanganyika hatutaki kuchukua mayai yote kwenye kikapu kimoja.
Bandari zote za baharini na kwenye maziwa yote apewe mtu mmoja!!! Hiyo akili?? Au matope?
 
vipi hapa, Muungano ulivunjika:

46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Kwahiyo unahama tena?
Nimekuuliza kwanini YESU ALISULUBIWA?
 
Facts zimehojiwa kwenye waraka na hoja za mawakili huzioni?Jibu hoja acha kurukaruka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…