Usinipange tafadhaliNi mageti machache ya TPA ukumbuke kuwa kuna mwekezaji mwingine hapo hapo bandarini anayekwenda kupewa eneo la kuwekeza.
Sina uhakika kama hili tamko lao nilakwanza kulitoa, matamko Yao hayana jino hata moja, kibogoyo kwakuwa inafahamika kuwa ni maoni TU ya watu wachache waliogusiwa maslahi yao binafsi. Kwakuwa hata kwenye serikali na bunge wamo wakatoliki wengi TU walioshiriki kwenye uwandishi wa mkataba wa bandari.Yaani mtahaha sana..!! Tamko la TEC limewapiga na kitu kizito kiasi cha kuwaletea MUHAHO
MAASKOFU KATOLIKI walikuwepo Kabla ya MASHEHE. Hivyo hawakuanzisha UASKOFU ili kuangalia upepo wa MASHEHE unaendaje.( Rejea: Ukristo umeanzishwa mwaka 33AD, Uislamu umeanzishwa mwaka 622AD).Maaskofu wanaingiza siasa kanisani, hili ni suala la hatari sana na sidhani kama busara yao imeweza kuona mbali zaidi.
Sidhani kama JPM wangeweza kumfanyia huu ujinga wa kusoma waraka makanisani, na sidhani kama wamejiandaa kwa majibu watakayokuja nayo mashekhe watakapoamua kutokaa kimya.
Bahati nzuri Katiba hii iliandikwa na Mwl Nyerere na Pius Msekwa, sio ya Rais Samia. Badala ya lawama kwenda kwa watu hao na CCM hasira na mbwbwe zinaelekezwa kwa Samia.Tena na JPM alishasema muhimili wake ndo umeenda mbali sana. Jiulize, nani anateuwa jaji?
makuwadi ya warabu fateni ushaur wa mabwana zenu warabu koko wa dubai.Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.
Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.
Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!
Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.
Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?
Mbona mnamwandama sana Rais na serikali, angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?
We are no longer under the yoke of Papacy regime.
Waprotestant tupo wengi tunaweza jisemea. Naomba mkae kwa kutulia.
Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia. Nimemaliza.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Uilindr Katiba ganii ambayo Inavunjwaaaaa kijingaa tuu????Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.
Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.
Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.
Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.
Tutailinda Katiba
Wametia aibu sana maaskofu wangu, wamefanya siasa katika awamu ya rais mpole na msikivu sana.Hawana elimu kabisaπ π hata walikuw hawajui kwamba TICTS alikuwa pale.
Elimu za kupewa baada ya kusujudia wazungu ndo tatizo..
Waraka haujamuongelea Rais Bali mkataba,, usitafute pa kujifichia.Wametia aibu sana maaskofu wangu, wamefanya siasa katika awamu ya rais mpole na msikivu sana.
Kwa ujumla wakatoliki tumechemka vibaya kwenye huu waraka, SSH amesimamia matibabu ya Lissu pamoja na kwenda Nairobi alipokuwa amepatwa na matatizo, sio kiongozi wa kumfanyia hivi walivyomfanyia.
Nchi ni ya wananchi ambao pia wapo makanisani na misikiti, ukiachana na wasio na Dini ambao ni asilimia ndogo sana, kwa mantiki hii wawezaje uliza swali la kipumbavu kama hili, pumbavuNchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.
Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.
Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.
Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.
Tutailinda Katiba
kanisa katoliki ndio la kwanza ulimwenguni kuleta elimu unayoijua wewe leo, na kuwaonyesha kuwa hawajui, kuna wataalamu zaidi yako wanaojua ports service, na viujinga vyako ilivyovielezaKwenye uchumi wa bandari kuna masuala mengi sana na kwa bahati mbaya wengi wetu hatuyajui na tunaishia kupotoshana tu kila kukicha.
Uchumi wa bandari au kwa kingereza PORT ECONOMICS ni mnyambuliko mzima wa ukuaji wa sekta nzima ya bandari. Zipo hatua kadhaa za kufuata katika uchumi mzima wa bandari.
Kwanza kabisa inaanza kuwepo bandari ya kutoa huduma yaani SERVICE PORT ndio hii kama ya kwetu inayojishughulisha na upakuaji pamoja na upakiaji wa makasha ya wateja mbalimbali. Sisi Tanzania kwa sasa tupo katika hatua hii ya mchakato, bado sana teknolojia yetu ni ya chini na pato la ujumla linalopatikana ni la chini pia.
Ikishaanza kukua bandari inatoka katika hatua ya huduma na kuingia kwenye hatua inayojulikana kama TOOL PORT kwa maana ya bandari inayotoa huduma lakini yenye wigo mpana wa wateja wanaohudumiwa. Ikiwa Service Port inahudumia meli elfu hamsini kwa mwaka, hii Tool Port inahudumia meli laki mbili kwa mwaka.
Hatua ya tatu wa bandari ni ile inayoitwa LANDLORD PORT, ni ile ambayo mamlaka inayoendesha inafanya shughuli mbili kwa wakati mmoja, kupangisha watoa huduma na kuwa msimamizi mkuu mwendeshaji.
Nafahamu kwamba awamu ya sita imekuwa ikitamani sana kutoka hatua hizo za kwanza za uendeshaji mpaka kufikia hatua hii ya Landrord. Kwamba tunakuwa na watoa huduma wanaopangishwa moja kwa moja na TPA.
Juu kabisa kuna hatua ya kuwa na bandari mwekezaji yaani INVESTOR PORT ndio hawa kina DP World, wanayo bandari kule Jebel Ali lakini wanamiliki utoaji wa huduma katika bandari nyingi duniani. Hiyo ni hatua kubwa sana na kwa nchi zetu zenye kusikiliza wapiga miluzi wengi hakuna uwezekano wa kufikia kirahisi hatua ya kutoka hapa Tanzania na kwenda kufanya shughuli za shipping kule Port Harcout Nigeria au Beira Msumbiji.
Wanaopinga uwekezaji pale bandarini wanayajua haya masuala ya uchumi wa bandari wa karne hii tuliyopo na namna serikali inavyotaka kutuvusha kiuchumi kupitia sekta hii ya uchukuzi?. Wapo wanaokuja na hoja za wazawa kuendesha uchumi wa nchi ikiwemo bandari, vipi hao wazawa wanao uwezo wa kiteknolojia katika dunia yenye ushindani mpana wa bandari kisasa?.
Haya ni masuala ya kiuchumi na ya kimkakati. Ili uweze kupinga uwekezaji wa DPW inabidi uziongelee kwa kina hizo hatua za ufanisi za utekelezaji wa bandari nilizozitaja kwa ufupi sana hapo juu. Sio kwamba mwekezaji huyu amekuja kibahati bahati tu , hapana, ni katika michakato ya kukuza uwezo wetu wenyewe wa kuendesha bandari zetu ndio serikali ikaona umuhimu wa kuwa na kampuni pale bandarini yenye uwezo kiteknolojia. Kampuni inayotoka kwenye nchi iliyoshavuka hatua za kuwa na Service Ports mpaka kuwa na Investor Ports.
Samaki mkubwa ni lazima atamla mdogo na hii sio baharini tu hata huku kwenye maisha ya kawaida ya kibinadamu, kwa uwezo wa bandari yetu kutoka kuwa Servide Port mpaka kufikia hatua ya kuwa Investor Port ni safari ya kumwaga jasho jingi na kuwa na nidhamu pana ya kazi pamoja na ubunifu unaopewa uhuru.
Tukumbuke kuwa gati namba sifuri mpaka namba mbili ni mali ya Serikali yetu. Magati namba tatu mpaka nane yanamsubiri mwekezaji na gati namba tisa mpaka kumi na mbili yatachukuliwa na mwekezaji mwingine atakayetangazwa sambamba na mwekezaji wa bandari ya Bagamoyo.
Kusambaza waraka kuna hatari moja kubwa sana, wapo mashekhe wapole kwa hulka na wana uwezo wa kusema haya ni masuala ya muda tu na kesho kesho kutwa yameshapita. Wapo mashekhe wenye hulka hizo.
Lakini wapo mashekhe wenye misimamo mikali kina Ponda watakaokuja na mikutano wa waandishi wa habari wakihoji inakuwaje kanisa katoliki liusambaze waraka huo makanisani na serikali iyachukue maoni yao moja kwa moja!.
Mungu ni mwema naamini tutaivuka salama hii patashika inayoonekana kutaka kutokea hapa Tanzania.
πππ
Yaani wewe ndio ulifundishe Kanisa Moja Takatifu La Mitume lililowasomesha akina alhaj Prof Lipumba na Assad?
πππππππ
Mkataba walisaini kuukubali siku ile walipopewa ufafanuzi kule Kurasini, cha ajabu ni hii hatua waliyoifanya hivi karibuni.Waraka haujamuongelea Rais Bali mkataba,, usitafute pa kujifichia.
Mlimuuliza Mwananchi Gani kabla ya kusaini dude Hilo Fake na BATILI?Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.
Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.
Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.
Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.
Tutailinda Katiba
Kama elimu ilianzia kanisani inakuwaje wanaelimishwa mara elfu moja juu ya mkataba na bado wanakuja kuwapotosha waumini leo hii makanisani?.kanisa katoliki ndio la kwanza ulimwenguni kuleta elimu unayoijua wewe leo, na kuwaonyesha kuwa hawajui, kuna wataalamu zaidi yako wanaojua ports service, na viujinga vyako ilivyovieleza
Nakushaur tu jambo.. jaribu kutafuta CV ya kila askofu angalau kwa uchache tu nadhan utarud hapa na kubadili msimamo wako!! Wale jamaa wana elimu ya vyuo vikuu faculty tofaut tofaut!!Kwenye uchumi wa bandari kuna masuala mengi sana na kwa bahati mbaya wengi wetu hatuyajui na tunaishia kupotoshana tu kila kukicha.