Hayo mazingira ya wanasiasa kupewa ziara za kutalii huko dubai ni kitu gani, pambav.....mnataka kutufunga midomo wakati kila kitu kinajulikana, bila kuwa na maslahi binafsi utaingiza nchi kwenye mkataba wa hovyo namna hiyo?
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
 
Habarini wakuu! Naomba nihitimishe kwa kusema kuwa dp world hatuitaki, kwa kuwa tiyari wameonyesha nia ovu kwenye mkataba, kivyovyote vile hatutawakubalia kuwekeza kwetu, watafute kwingine

DPW ni matapeli wakishirikiana na mafisadi ya TZ.
 
Utapeli wao ni nini ?!!!

Kwani wameshawekeza ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Wamewarubuni mafisadi serikalini(viongozi) kwa kuwapa vipande thalatha vya pesa na pia wamehonga waandishi wa habari(madalali) kuwapiga chapio kwenye platforms zao ili wakubalike,huo ni UTAPELI.
 
Wewe kuwa muelewa hapa habari ya uisilamu inaingiaje?kubali tu kumpigia saruti baba askofu mtumishi wa Mungu shooooooooooo
 
Kafichua uhuni wa kanisa la roma kumbe walisha Kutana na raisi ikulu sasa leo mbona wajipaka uchafu
 
Atamshangaza nani, kaeni kwa kutulia mda ni mwalimu
 
Habarini wakuu! Naomba nihitimishe kwa kusema kuwa dp world hatuitaki, kwa kuwa tiyari wameonyesha nia ovu kwenye mkataba, kivyovyote vile hatutawakubalia kuwekeza kwetu, watafute kwingine
Ndo ishakuwa, hutaki hama nchi
 
Mimi sipo kwa mlengo wowote ule, nachotaka tusiumie, wao pia wasiumie

Karibuni sana wadubai na waarabu wote kwa ujumla.
 
Kuanzia rais Samia hadi Dr. Shoo, wote mnawa nukuu.
Mpaka sasa, sijaona hata mmoja kati ya wanaowapinga TEC aliyejaribu kunukuu hata sentensi moja.
Kwani yaliyoandikwa na TEC hayanukuliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…