Kichwa cha habari na yaliyomo kama vinatofautiana hivi😆....

Mwandishi kaelezea mengi ila mwisho umebakia ndani ya boksi la TEC(Mkataba unamapungufu)😆😆😆.....

Inshu hili litatoa shule kubwa sana kwa watakaokuwa tayari kujifunza kutokana na makosa.
 

Bon Mwaitege alishawahi kuimba "UTAWATAMBUA KWA MATENDO" yaani MATENDO UTAWATAMBUA tu MADALALI.

Arab Contractor na Yapi Merkezi Madalali walikuwa Dotto James na Jikono Jandama.
 
Cheo kinasakwa kwa uvumba bila udi
 
Maneno mengi uongo mtupu

Tamko la TEC lilitoka tarehe 18/08/2023 siku ya Ijumaa

Umefanya marudio ya wajinga wenzio waliopita huna jipya

😕😕😕😕😕😕
 
Dhana ya kujenga uwezo wa Watanzania wenyewe unaupiga vita, unaleta historia badala ya kujibu hoja - je sisi Watanzania hatuwezi kuingia ubia na kampuni yoyote ya nje?

Ni lazima tuwape wageni asilimia 100 za udhibiti wa kupokea, kukusanya mapato na kusafirisha mizigo pale bandarini. Tusijidharau sana - tuna wataalamu wazalendo wengi tu, tatizo letu hatuwashughuliki ipasavyo wezi wa mali ya umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…