Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Abdul na Riziwani wanafanana kama awamu ya 4 na 6 zinavyofanana.
we acha kufananisha awamu ya 4 na 6 hazifanani hata kidogo awamu ya 4 maisha yalikuwa mazuri sana na hata awamu zingine isipokuwa hii ya sasa hali tete angalia mfumuko wa bei unavyotisha
 
Doto James Masanja hana undugu wowote na Magufuli isipokuwa wanatoka sehemu moja tu Chato. Kama unabisha taja Jina la mamake Doto ambae ni dada wa Magufuli.
Yote hayo yalikuwa ni propaganda tu.
Swali zuri sana hili!

Ngoja tumsubiri
 
Kina Abduli wanamchango upi kabla ya ........(......) kuwa Rais
 
Lakini na yeye aliwapa kipaumbele Wasukuma katika teuzi nyingi na ajira nyingi.
 
Unaweza dhani ni maadili yake kumbe ni hofu yake kile ambacho kitamkuta Baadae baada ya kupata madaraka kisimkute mwanae!!

Ni upendo na hofu ya njia uliopitia kupata utajiri ndio hukuogofya kumshirikisha mtoto!

Katika Kila utajiri Kuna kafara nyuma yake inaweza ukawa wewe ndio kafara ya utajiri ulioupata na usingependa n watoto wapitie hayo!

Madaraka Yana siri nzito sana mkuu!!


Wakubwa hawafi kwa bahati mbaya mkuu!!

Huyu mwanae anaonekana coz akipata tu kwa bahati na ana furaha na bahati alioipata na hakuna kafara nalioitoa hadi hapo inayomhusu yeye hivyo Haina madhara kwa watoto wake!!

Nimejaribu!
 
Kwa magu Ni amri magu hajaleya watoto kimandazi Ni kwamba sitaki hiki sitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…