Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hoja nyepesi sana, kwamba watoto wa mwalimu ndiyo wanakuje vile.Kumbuka Magu alikuwa Mwalimu! Kwa hiyo aliwalea watoto wake katika maadili mazuri.
Labda wewe ndo huijui tupo tunaoijua...😂Jesca mlimjua sababu pamoja na baba yake kuwa rais ye aliendelea kusoma vyuo vya serikali..lakini hata picha yake hatuijui.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
we acha kufananisha awamu ya 4 na 6 hazifanani hata kidogo awamu ya 4 maisha yalikuwa mazuri sana na hata awamu zingine isipokuwa hii ya sasa hali tete angalia mfumuko wa bei unavyotishaAbdul na Riziwani wanafanana kama awamu ya 4 na 6 zinavyofanana.
DuhJuzi kati Rais Tinubu wa Nigeria kamtimua mtoto wake wa kiume kwenye kikao chake na Wafanyabiashara.Mzee alichukia kuwa ata kama yeye ni Rais,mwanae hana mamlaka ya kuhudhuria kikao chake ambacho hajaalikwa!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Na Salma Kikwete alikuwa mwalimu.Kumbuka Magu alikuwa Mwalimu! Kwa hiyo aliwalea watoto wake katika maadili mazuri.
Swali zuri sana hili!Doto James Masanja hana undugu wowote na Magufuli isipokuwa wanatoka sehemu moja tu Chato. Kama unabisha taja Jina la mamake Doto ambae ni dada wa Magufuli.
Yote hayo yalikuwa ni propaganda tu.
Kina Abduli wanamchango upi kabla ya ........(......) kuwa RaisMtu ili ujilikane unabidi kuwa na mchango chanya katika Jamii na Taifa kwa ujumla .
Unaweza kuwa wewe baba yako ni rais Ila kwakuwa hauna impact chanya katika Jamii Basi hakuna mtu utaendelea kukuzingatia.
Mtu Kama Joel Nanauka mnamuonaje je? Angekuwa ndo mtoto wa rais watu wasingemzingatia
Lakini na yeye aliwapa kipaumbele Wasukuma katika teuzi nyingi na ajira nyingi.Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini
Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri
Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi kuwaona kwenye Hafla, Ikulu wala kwenye mkusanyiko wowote wa viongozi wakiwa kama watoto wa Rais
Haya ndiyo maadili twapaswa kuwajengea watoto wetu
Mtu unapata nafasi ya Kuongoza nchi, watoto wako nao unataka wawe viomgozi? Haya sidhani kama ni maadili ya kiuongozi!
Ofisi tumpe Rais, watoto nao tuwe tunawahudumia kama viongozi wetu? Watuhoji kwa nini tumechelewa ofisini?
Hii hapana
JPM apewe mauwa yake kwa maadili ya familia yake!
Tunapozungumzia maadili ya kiuongozi na kuondoa sintofahamu ya familia za viongozi wetu kufanya watoto wao wawe frontline kana kwamba nao ni viongozi wetu, sisi kama Taifa, yatupasa tuliweke jambo hili sawa!
Kwamba, tukipata Rais, basi hata watoto wake wawe sehemu ya uongozi wa mzazi wao na au itambulike kuwa, (baba/mama)yao ndiyo kiongozi wetu, watoto wao wawe kama watoto wa mkurugenzi ama kiongozi yeyote yule
Tumpigie kura mtu fulani, badala ya yeye tu kuwa ndiye kiongozi na anayepaswa aheshimiwe, badala yake kunakuwepo na watoto wake ambao nao anataka wawe sehemu ya uongozi wake na nusu ya heshima yake, ipelekwe kwa hao? Huku ni kukosa soni!
Je, hakuna utata wowote mtoto wa Rais kuwa sehemu ya kiuongozi?
Hakuna Mhaya mpumbavu kama wewe.Watoto wa viongozi hasa Magufuli Kama hawana impact ya ku-offer katika Jamii bado hata wangejulikana isingesaidia Jambo lolote.
Unaweza dhani ni maadili yake kumbe ni hofu yake kile ambacho kitamkuta Baadae baada ya kupata madaraka kisimkute mwanae!!Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini
Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri
Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi kuwaona kwenye Hafla, Ikulu wala kwenye mkusanyiko wowote wa viongozi wakiwa kama watoto wa Rais
Haya ndiyo maadili twapaswa kuwajengea watoto wetu
Mtu unapata nafasi ya Kuongoza nchi, watoto wako nao unataka wawe viomgozi? Haya sidhani kama ni maadili ya kiuongozi!
Ofisi tumpe Rais, watoto nao tuwe tunawahudumia kama viongozi wetu? Watuhoji kwa nini tumechelewa ofisini?
Hii hapana
JPM apewe mauwa yake kwa maadili ya familia yake!
Tunapozungumzia maadili ya kiuongozi na kuondoa sintofahamu ya familia za viongozi wetu kufanya watoto wao wawe frontline kana kwamba nao ni viongozi wetu, sisi kama Taifa, yatupasa tuliweke jambo hili sawa!
Kwamba, tukipata Rais, basi hata watoto wake wawe sehemu ya uongozi wa mzazi wao na au itambulike kuwa, (baba/mama)yao ndiyo kiongozi wetu, watoto wao wawe kama watoto wa mkurugenzi ama kiongozi yeyote yule
Tumpigie kura mtu fulani, badala ya yeye tu kuwa ndiye kiongozi na anayepaswa aheshimiwe, badala yake kunakuwepo na watoto wake ambao nao anataka wawe sehemu ya uongozi wake na nusu ya heshima yake, ipelekwe kwa hao? Huku ni kukosa soni!
Je, hakuna utata wowote mtoto wa Rais kuwa sehemu ya kiuongozi?
Kwa magu Ni amri magu hajaleya watoto kimandazi Ni kwamba sitaki hiki sitakiLeo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini