Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Kuna wawili umewataja watu wangu wa maana sana shahidi Asprin
 

Niliona uvivu kutag maana mpo wengi sana...

Kuna Gen 1 ya wadada sasa nahisi ni watu wazima kiasi, ile ambayo iliingia JF imekaa kisiasa siasa...2010 kurudi nyuma hadi JamboForum

Kuna Gen 2 ya wadada hii ni waanzilishi wa Chit chat na MMU, hii ndio mleta mada naona anaitafuta maana socialization ndani na nje ya JF ilikuwa kizazi hiki...2010 hadi 2015 hivi hapo...

Baada ya hapo, JF ikawa chama la wana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…