City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Huyu mwehu yupo desperate sana kurudi kuitawala Iran wakati Trump kasema potential candidates wake wote aliopendekeza waitawale Iran kama utawala utaanguka wote wamekwisha uawa.π₯π₯π₯π₯
Reza pahlavi: Nipo tayari kwenda Iran kwa haraka iwezekanavyo
Mkuu huiyo statement ya Trump ilikua hivyo au mimi sikuielewa(nimesahau)Huyu mwehu yupo desperate sana kurudi kuitawala Iran wakati Trump kasema potential candidates wake wote aliopendekeza waitawale Iran kama utawala utaanguka wote wamekwisha uawa.
ππππBwana wee kumepigwa akauwawa mtu hizo zingine ni porojo za kujifuta machozi.Tumevuliwa nguo..
πππWe upo wapi hapo au ndiyo huyo mwenye mzura hapo unalia hadi kutoa makamasi?
π€£π€£π€£Nipo na mama yako, bado tumelala.
Okay.
Wananchi hawajaitikia huo wito inasaidia Nini!?Sasa unafikiri Trump anapowaambia wananchi wachukue nchi yao unafikiri anamaanisha nini?
Noma sana , na huko nyuma walikuwa wana danganya watu kwamba wana mifumo ya kuzuia mabomu kutua ndani ya Nchi Yao ,Kwamba Iran uwezo wao wa makombora uliharibiwa vita ya siku 12? Hebu kuwa serious basi, vice versa is true Israel Hana tena Ammunition za kuzuia makombora ya Iran sasa hivi huoni tena makombora ya Iran yakiwa intercepted kwa nguvu. Ndio maana sasa hivi Tel Aviv kila sehemu kunapigika.
Nimefirahi kuona teknolojia kikitumika kwa usahihi.
Noma ππWazee kuna aina mpya ya kombora Iran anaendelea kurusha toka leo alfajiri, linapangua makombora ya iron dome halafu linakwenda kuipiga launcher ya iron dome..
Yaani badala ya kombora la iron dome ku neutralize makombora ya Iran, kombora la Iran linaanza na kombora la Iron dome kulilipua halafu inafuatwa launcher iliyolituma... asee kama vita inaelekea huku basi tutashuhudia mengi.. haya ni zaidi ya matusi..
View: https://twitter.com/i/status/2027857349361226104
πππ Jamaa Kila wakati wana Feli Iran wana strong community kubwaNa haya maombolezo yanayo endelea ni kama bado mambo yapo 50/50 kuendelea kusubiri civil war itokee au uvumilivu uwashinde wazame kama Iraq au wakimbie wajipange upya tena bado mambo magumu
Kwamba mnaweza kuwapiga wachina !?Anayefuata ni China, a paper tiger (mbwa asiye na meno). Na this time milio itakuwa mingi sana, fikiria milio ya Wachina zaidi ya bilioni moja. We will be there to collect their tears.
π€£π€£muda sio mrefu misri nayo itaanza kupokea kichapo
πHizi ndo habari napenda kuskia.
Na hii ndo Iran nayoijua.
Maneno machache makombora mengi.