Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Kwani sasa kashindwa,kwa kipimo gani kilichoonyesha kashindwa,nyie ndo mmejionyesha msivyo na akiliToo late man, that's a wake up call, mitandao siku hizi ina nguvu zaidi ya polisi na Ndugai, liwe funzo kwa Diamond mwenyewe na wasanii wenzake kina Harmonize, Kiba na wengine, ole wao tena washiriki kampeni za CCM, mbaya zaidi alijitutumua twitter hajawahi kushindwa vita ndio akajiharibia kabisa.
Wewe umefanya kwa sababu zipi mkuu, ili tukuondoe pia kwenye group la wafata mkumbo, maana umeshasema si mwanasiasa na si mwanaharakati.
Okay!Sio mbaya maana hata ya kwao yameshawashinda.
Ni kweluWakati watu wanawasema akina Karume na Nyerere ulishawahi ona Makongoro anamtetea Baba yake
legacy haitetewi inajitetea
Nyerere anasemwa sana lakini hotuba zake na kazi zake zianajitetea zenyewe
Hatufanyi kazi ya kuhesabu viwanda vya nyerere na Madaraja
Hao wanavuna chuki waliyoipanda
Lissu ni mwanaharakati au ni kiongozi wa Chadema?Ukijibu hili swali utajielewa kama wewe ni Nyumbu au binadamu wa kawaidaKumbe wewe ni mpumbavu kiasi hiki. Wanaharakati ni watu wanaodai uhuru, haki na usawa na utawala unaoheshimu, kulinda na kuitetea Katiba.
Kama huyo msanii wako akachagua upande wa watekaji, watesaji na wauwaji wa Watanzania wenye misimamo tofauti kisiasa huo ni uamuzi wake.
Watanzania walipotekwa alikuwa kimya, walipoteswa alikuwa kimya, walipopotezwa hakupaza sauti...hii ina maana kuwa aliwaunga mkono wahusika.
Halafu leo anawataka hao hao waliopitia machungu huku yeye akiwa kimya wamuunge mkono katika kutafuta umaarufu kupitia mgongo wao, ili iweje?
Hiyo tuzo itawarudishia uhai wapendwa wao? Hiyo tuzo itawaponyesha vilema wa maungo? Hiyo tuzo itawafuta machozi wazazi, ndugu na marafiki wa waliopotezwa?
Acheni ujinga, huyo na usanii wake tupa kule...kama mnampenda mkanywe naye chai huko kuzimu aliko huyo dhalimu anayemvisha kofia.
𝚄𝚙𝚊𝚗𝚍𝚎 𝚞𝚜𝚒𝚘 𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚔𝚒 𝚔𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚘𝚗𝚘 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚋𝚘𝚝𝚑𝚎𝚛..! 𝚠𝚊𝚙𝚘 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚘𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝙸𝚜𝚛𝚊𝚎𝚕 𝚗𝚒 𝚑𝚊𝚔𝚒 𝚢𝚊𝚘 𝚔𝚞𝚛𝚞𝚜𝚑𝚊 𝚖𝚊𝚔𝚘𝚖𝚋𝚘𝚛𝚊 𝙶𝚊𝚣𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊𝚞𝚊 𝚆𝚊𝚙𝚎𝚕𝚎𝚜𝚑𝚒𝚗𝚊 𝚕𝚊𝚔𝚒𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚙𝚘 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚘𝚗𝚊 𝚆𝚊𝚙𝚊𝚕𝚎𝚜𝚝𝚒𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚔𝚒 𝚔𝚞𝚕𝚒𝚙𝚒𝚐𝚊𝚗𝚒𝚊 𝚃𝚊𝚒𝚏𝚊 𝚕𝚊𝚘.Unapo simama na upande usio wa haki una poteza yote kutoka kwa wapenda haki na ustawi wa taifa.
Huu uzi wakipumbavu na umeandaliwa na mjinga wa ccm.
1. Watanzania kila mmoja anahaki kutoa maoni yake.
2. Chadema hawana uhusiano kama chama Kwenye sakata hili
3. Uhuru, haki na Amani .... matunda kila mtanzania angeyatamani kuyafurahia
Uhuni wa wasanii kila nyakati za uchaguzi kujiweka ccm na kuwabagua watanzania wengine ni ujinga na upumbavu
Ikumbukwe na ieleweke wazi, msaani yeyote anawashabiki katika vyama vyote na pia kwawasio na vyama
Act, Chadema, ccm, cuf, NCCR nk,
Msanii anapojifungamanisha na ccm pekee na kuwatukana wale wengine wote,anajiharibia.
Namaanisha yeye anajirasmisha kuwa Mali ya ccm na hivyo basi mashabiki wake ni ccm..... waliobakia wote nje ya ccm anakuwa amewakanana
Waliobakia wote, haramu kwa msanii huyo. Hii concept ya cdm unaipataje hapa? Hawa wengine unawaweka wapi?
Kauli ya kuwafungamanisha cdm na kuwaacha wengine wote kama cuf, nccr, Act, Tlp nk ni upumbavu wa uccm na propaganda za kijinga.
Umeelewa ninacho kuuliza?
[emoji116]
1. Unaushahidi wa unachokiongea hapa
2. Wa Chadema na kiongozi gani ametamka?
3. Nccr, cuf, Act, tlp nk wapo kundi lipi na kwa ushahidi upi?
4. Alipokuwa anapanda majukwa ya ccm lini alipanda majukwa ya Nccr, cuf, Act, tlp nk ili kuwapa watanzania wa itikadi zote haki ya usawa?
Ashakula biashara yake, bila shaka ilimlipa sana.Naona unachanganya biashara na haki. Yule ni mfanyabiashara, na mfanyabiashara yeyote anafata masirahi. Weka hii akilini
Lissu ni mwanaharakati au ni kiongozi wa Chadema?Ukijibu hili swali utajielewa kama wewe ni Nyumbu au binadamu wa kawaida
Kwani wewe ni mtumishi wa anayetuhumiwa ama ama wa kijani.
Unaongelea Chadema ipi? Ile iliyokufa?Walioanzisha kampeni mitandaoni ni wanaharakati wa cdm hili unalijua vizuri sana.
Sababu yao kubwa ni kuwa Diamond alishiriki mambo kadhaa ikiwemo kampeni kwa ccm
Wasanii wanaojitambua duniani hawafanyu ujinga unaofanywa na wasanii wetu hapa Tz, wengi hujiweka mbali na siasa ili kuepuka kuwavuruga fans wao wanaoweza kuwa na itikadi tofauti, hawa wetu walizubaa akili zao muda mrefu sana sasa ndio wanaamshwa, next stop kwa wale wajinga bongo movie kina Steve Nyerere, Wema, Uwoya, na wenzao, hakuna kununua movie zao.
Kwani mwenyewe huyo diamond anasemaje?Sawa mkuu, basi tueleze Diamond anawakwamisha wapi kwenye harakati zenu
Mkuu unataka kusema Abood Mabasi yake hayana wateja, Mwana FA mziki wake hausikilizwi pia gwajima kanisa lake sasa ivi halina waumini.Unapokuwa
1. Mfanya biashara
2. Msanii
3. Mtumishi wa Mungu (sheikh, mchungaji no)
Unayehudumia watu wa vyama, dini, itikadi na mitazamo tofauti.
Epuka kujifungamanisha upande mmoja, toa huduma kwa usawa bakia katikati...
Ukijifungamanisha na upande mmoja nakuwazodoa wa pande zingine basi kubali matokeo. Watakapo kusurubu usitafute mchawi.
Niliingia kwenye website ya change.org nikaangalia petition inayotaka diamond asiwemo kwenye kinyang'anyiro na nikaangalia petition inayotaka diamond abaki kwenye kinyang'anyiro.Hawa watu wanatuchanganya mkuu, Wako bungeni miaka kibao leo wanataka mapishi yaliyowashinda wao wakati wako jikoni wamtwishe Diamond.
Yani Diamond leo ndo kawa sababu ya chama fulani kutofanikiwa katika mambo fulani.
Punguza jazba mkuu,
Tusaidie izo sababu ili tunufaike na kuelimika pamoja.
Kwahali iliyopo ni bora hao na visasi vyao kutawala maana watadeal ns wabaya wao kuliko ninyi mnaowaua waliowashinda katika chaguzi wasiohatia ili mtawale kwa dhulma.Hawa watu siku wakishika usukani tutegemee visasi tu
HahahahahaKumbe wewe ni mpumbavu kiasi hiki. Wanaharakati ni watu wanaodai uhuru, haki na usawa na utawala unaoheshimu, kulinda na kuitetea Katiba.
Kama huyo msanii wako akachagua upande wa watekaji, watesaji na wauwaji wa Watanzania wenye misimamo tofauti kisiasa huo ni uamuzi wake.
Watanzania walipotekwa alikuwa kimya, walipoteswa alikuwa kimya, walipopotezwa hakupaza sauti...hii ina maana kuwa aliwaunga mkono wahusika.
Halafu leo anawataka hao hao waliopitia machungu huku yeye akiwa kimya wamuunge mkono katika kutafuta umaarufu kupitia mgongo wao, ili iweje?
Hiyo tuzo itawarudishia uhai wapendwa wao? Hiyo tuzo itawaponyesha vilema wa maungo? Hiyo tuzo itawafuta machozi wazazi, ndugu na marafiki wa waliopotezwa?
Acheni ujinga, huyo na usanii wake tupa kule...kama mnampenda mkanywe naye chai huko kuzimu aliko huyo dhalimu anayemvisha kofia.