CHADEMA- wamekosa hoja wanaungaunga
 
Acha ugoro umeona tamko la chama wapi dhidi ya huyo nyegezi, tamko la chama anatoa M wenyekiti au Katibu Mkuu zaidi yachapo yanakuwa mawazo binafsi ya watu, na ndiyo demokrasia hiyo, usihusishe mawazo binafsi na chama wewe mtetezi wa
Makamu mwenyekiti ye hatoi tamko la chama,mbona tamko la chama lipo waziii tena wazi Sanaa mpaka viongozi wake wanajionyeshaa,
Nafikiri ni chama cha visasi tu hiki
 
Mkuu nilicho kiandika mimi hapo juu umekielewa?
Kama umekielewa kina uhusiano na hiki ulicho kijibu hapa?

Angalia kwenye comment yako umeanza na neno gani kisha rudi kwenye maoni yangu hapo juu soma vizuri utagundua kuwa wewe umekuwa mfano halisi wa nilicho kisema hapo.
 
Makamu mwenyekiti ye hatoi tamko la chama,mbona tamko la chama lipo waziii tena wazi Sanaa mpaka viongozi wake wanajionyeshaa,
Nafikiri ni chama cha visasi tu hiki
Hiki chama hakitafanyikiwa kamwe wamejaa chuki sana na ukabila
 
Huu ni uongo wa mchana kweupe. Wasanii wa nchi gani wasanii wanajiweka mbali na siasa?
 
Cdm na naona wanalifanya hili Jambo kwa. Hisia fln HV za kidini pia maan ukianglia hakuna waislmu wanaokubali hayo mfno mzur bananga yey Yuko tofauti
 
Sasa kama wanaharakati wanajua tuzo haitorudisha uhai kwanini wanahangaika nayo?
 
Hiki chama hakitafanyikiwa kamwe wamejaa chuki sana na ukabila
Na huu wimbo wa Sadala unautafsiri vipi?

Magufuli baba lao, Makonda baba lao...
CCM baba lao, Wapinzani piga risasi
Tuna polisi, tuna jeshi...wamekwishaaa!
 
Na huu wimbo wa Sadala unautafsiri vipi?

Magufuli baba lao, Makonda baba lao...
CCM baba lao, Wapinzani piga risasi
Tuna polisi, tuna jeshi...wamekwishaaa!
Inahusiana vp hiyo comment
 
Hata wacongoman waliwanyoosha wanamuziki wa congo kwa kumsapoti dikteta Kabila abadili mihula ya uongozi.Hakuna mwanamuziki yeyeto wa congo anaweza piga show ulaya yote si koffi,werason,wala inoss
UOngo
 
Cdm na naona wanalifanya hili Jambo kwa. Hisia fln HV za kidini pia maan ukianglia hakuna waislmu wanaokubali hayo mfno mzur bananga yey Yuko tofauti
Hiyo inawekana kama mtu ni mkabila kuwa mdini ni possible
 
Leta ukweli
Wewe ndie mwenye jukumu la kuleta ushahidi, ila isiwe kesi Innos B na Fally Ipupa walikuwa Ufaransa na Canada mwaka 2019 mwishoni, mwaka jana kulikuwa na Corona sasa hizo habari zako umepata wapi?

Naona mzee uliungana na kigogo kumpinga Magu kwenye mitandao ya kijamii huku ukificha jina lako.
 
Mfano kibakuli angekuwa nominated mngefanya hayo mnayomfanyia Sadala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…