Probably Yes.Kwa hiyo hata wewe john7371 ninaongea na zombie na sio mtu au binadamu anayeishi?
Maana umekazania kukataa kwamba Erythrocyte sio mfuasi wenu,ilhali kila mtu humu analiona na kulitambua hilo!
Badala ya kujadili jinsi watanzania wanavyoumizwa na utawala wa Samia kupitia matozo mnajadili kiti cha Rais kanisani?
Pita kushoto Zombie!Probably Yes.
Nakubaliana na wewe voicer.
Sisi ambapo hatujulikani ni binadamu au mazombie, Juma au Asha tumenyimwa verified [emoji38] [emoji38] [emoji38] . Na kuna mambo haturuhusiwi hata kuyafanya, ambayo binadamu wa kawaida anaweza.
Hata hoja yako tukisema tuikubali, basi maana yake serikali inapaswa kuwa imehusika kalyinda kwa sababu kuna mtu aliyekuwa anapost shughuli za serikali ndo kawashawishi watu kuingia humo kwenye upatu, kitu ambacho si sahihi kuihusisha serikali na personal issues.Kwa hiyo hata wewe john7371 ninaongea na zombie na sio mtu au binadamu anayeishi?
Maana umekazania kukataa kwamba Erythrocyte sio mfuasi wenu,ilhali kila mtu humu analiona na kulitambua hilo!
Hii uliopuliza leo ni ya wapi? Inaonekana ni kali sana1.Soil Erosion.
2.Due to lack of employment.
3.Triangular Slave Trade.
4.Lack of Natural Resources.
5.Land Alienation.
Nyota yangu Kali ( Natural Charm ,) inakutesa mno. Pole sana na Vumilia mno sawa?Wewe jamaa uko kama kuku anayetaka kutaga. Jambo moja unaanzisha mada nyinginyingi.
Well, kila mtu ana mtizamo wake katika hilo jambo !Hamna kitu Boss, ni kutaka ufahari usio na sababu yoyote. Kwangu mimi najua heshima halisi inatokana na kuingia madarakani kwa kuheshimu uchaguzi. Lakini kwa zile chaguzi za kihayawani sijui wanataka ufahari wa nini.
Lini na wapi wapinzani wamejadili kiti cha Rais kanisani? Utakuwa na mtindio wa ubongo wewe si bureBusara! maana yake, kutenda kistarabu.
Litendwe mahali pake, mipango usiharibu.
Kuna pale utamke, pengine ubaki bubu.
Sasa watanzania tunaelekea ujingani kwa kasi isiyomithilika.tumezaa kizazi kisicho na vipaumbele wala malengo.
Tuko kwenye wakati ambapo kila mmoja anadhani anaweza aidha kuwa kiongozi au mwanasiasa bila hata uelewa au elimu ya siasa yenyewe.
Tumegeuza simu janja kuwa madarasa ya kueneza kila tunachoamka nacho kichwani bila tafakuri ya upana na umuhimu wake kwa jamii au madhara yake kwa jamii.
Tuna kizazi cha ubinafsi na unyang'au wa hali ya juu kupitia mgongo wa siasa,wakati kinachoendelea sio siasa bali uhasama baina ya pande mbili zinazogombea ulaji.
Huku wananchi tukionekana kama mazombi tusiojitambua mbele ya wao wajiitao wasomi lakini wasio na uwezo wa kupenya ajira za kimataifa,sambamba na wasomi wenzao huko Duniani.
Badala yake wanarudi kutafuta short cut kupitia siasa uchwara za kibunge.
Inapofikia wanaojiita wanaharakati kushindwa kujenga hoja nzito zenye mashiko na maslahi mapana kwa wananchi.
Na hivyo kuibana serikali na watendaji wake kuwajibika ipasavyo.kuendana na katiba ya JMT,pamoja na viapo vyao.
Badala yake ...
Tunarudi kujadili hoja ya kiti cha Rais kanisani......
Huku sio tu kuporomoka kisiasa,bali ni kubomoka kisiasa.
Wewe Erythrocyte ukiwa chawa ndani ya jengo linalobomoka kwa kasi.
Tumtafutie jogooooWewe jamaa uko kama kuku anayetaka kutaga. Jambo moja unaanzisha mada nyinginyingi.
Usinitowe kwenye mada kwa kunipeleka kalynda.....Hata hoja yako tukisema tuikubali, basi maana yake serikali inapaswa kuwa imehusika kalyinda kwa sababu kuna mtu aliyekuwa anapost shughuli za serikali ndo kawashawishi watu kuingia humo kwenye upatu, kitu ambacho si sahihi kuihusisha serikali na personal issues.
Msinotowe kwenye mada yangu......Sasa porojo huwa inajibiwa au inakuwa struck out? Wewe umeshasema habari zako umezitoa kwenye fake ID, Na hata huyo mtu nyuma ya fake ID humjui, sasa unadhan kuna hoja gan ya legitimacy utajenga?
Hata mahakamani ukienda kushitaki lazima uwe na locus stand, sasa wewe utajenga hoja mbele ya mahakama kuamua mtu hewa? Ambaye pengine ni Bot?
* Juzi kuna watu wamepigwa Kalyinda kwa sababu kuna mtu alifungua twitter account na anapost mambo ya serikali, na kujiita MSEMAJI WA SERIKALI na hivyo kuuaminisha umma ni serikali hatimaye chamoto wamekiona, Je, waliotapeliwa wanaweza ku-seek damages kutoka serikalini just for that?
Nimetumia jumuishi kwa sababu humu JF ....msemaji wa Chadema ndiye huyohuyo Erythrocyte ambaye ameanzisha ule uzi jana jioni mkuu!
Huu upinzani wa kupinga kila jambo sasa nimeanza kuona unakengeusha akili, na kufubaza uwezo wa kufikiri, vyema wawe wanajipa muda wa kutafakari kabla ya kutoa maoni yao.
Naamini hii ni tabia ya kawaida kwa mwanadamu, kama umeizoesha akili yako kuona mabaya pekee ya upande fulani, basi hata likitokea jambo la kawaida kwa wengine, kwako litaendelea kuwa baya tu.
Lema kwa kuonekana kwake kuyajua maandiko ya kwenye biblia, sikutarajia aje na maneno yale ya kupinga lile jambo lililotokea kanisani, ule sio uwanja wa mashindano ya mambo ya ulimwengu - CCM vs CDM, ile ni nyumba ya mambo ya rohoni.
Hii ingemtokea kama angejua kutenganisha siasa za CCM vs Chadema, kwenye eneo tofauti na uwanja wa siasa, pale Rais alikwenda kama kiongozi wa mamlaka ya nchi, ambapo tunaaswa na maandiko tuziheshimu mamlaka zilizo juu yetu.
Hivyo binafsi sikuona sababu ya kugombania viti, hayo ni mapambo ya huu ulimwengu yasiyo na maana kwa mkristu aliyekamilika, ni wakati wa wapenzi na wanachama wa vyama vya siasa kutafakari mambo badala ya kupelekwa mbio na fikra za viongozi wao.
Exactly watu wanajadili mambo yasiyo na maana hakuna kitu kibaya kilichofanyika wanashindwa kujadili maendeleo yanayomgusa direct mwananchiGENTAMYCINE nikiwa kama Mkristo tena wa Dhehebu Mama na Kubwa duniani la Katoliki sijaona Kosa lolote kwa Rais Samia kuingia Jana Kanisani na Kitu.
But same titleTwo people with different characteristics