We jamaa bwana. Kama bamdogo Noeli. Anaweza kuta mnakula msosi anasema yeye hali anaonja tu, basi atatia tonge tatu halafu anaenda kukaa nje anamwita dada anamwambia aiseee nimekula chakula kitamu hebu naomba niwekee na mimi kidogo.

Halafu anakula. Sasa huwa najiuliza hivi uncle anashida gani huyu kuonja halafu anapiga msosi kamili. Khaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatumiwa pesa ya kumjengea kaka wewe unatongozea🤣
mzee natumiw pesa na nani zitoke nchi tofauti?🤣🥰 hata nyumba zangu naweza weka hati picha hapa🤣 endelea kunichulia poa
 
Clepatina usipate wasiwasi mahari ndogo sana hiyo. Ngoja niwaumize moyo wakuheshimu siku nyingine😃View attachment 2629015

Thank you dear😍🥀
Ila Sasa hapa ndo umeharibu my billionaire.🙏.
Wanga wakipita hapa watatuloga bure.
Turudi tukaongee wenyewe kule machakani🤣🤣.
Hawa ndugu zangu ntamalizana nao mwenyewe.🤣
 
We dada zako si wamezaa hapo kwenu?
Ndio Mkuu , ukweli mpaka mtu anaangukia kuwa singo maza ni ukosefu wa kutumia akili na kutumia hisia .

Mtu anakosa utulivu wa kuchanganua mambo Hadi anaangukia kwa mtu mjanja na kushiriki naye ngono zembe ....mateso yanawapata watoto wao.


Niseme tu wanawake na huwezo Mdogo wa kuchambua Mambo that way singo maza wanaongezeka day bay day
 
Teh! Kuna vitu hata sio vya kushadadia.
 
Thank you dear😍🥀
Ila Sasa hapa ndo umeharibu my billionaire.🙏.
Wanga wakipita hapa watatuloga bure.
Turudi tukaongee wenyewe kule machakani🤣🤣.
Hawa ndugu zangu ntamalizana nao mwenyewe.🤣
hah wanga wataloga bure hawaniwezi🤣🤣🤣
 
Glenn nikirusi home nawek hati zangu za nyumba na viwanja vyangu
mimi sio mwenzako🤣 usione masikhara yangu hapa ukajua kilaza na bado nimeenda shule mzee😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…