Kabla ya kuwa single maza unajua alishachomoa ngapi?Mimi naona ni bora kuoa single mother kuliko binti (wa mchongo) alietoa mimba kibao!
Kama sio bikira, ni kheri mara alfu uoe tu single mother.
😷Dogo oa usije na nyuzi ndeeeeefu yakuwalaani hapa,,,,,KWENYE WATOTO ZENU KUNA WATOTO ZETU
Dawa ya ma single mother ukikutana nae ni kumuongezea mtoto tu full stop, Msanue Mwana atakuja kulia mdomo Juu kama Mbwa.Kuna Uzi uliandikwa na jamaa kuhusu maswahibu ya mahusiano na single mother.
Kiukweli ni ngumu sana au asilimia chache single mother kukubari kuishi na kuachana na mzazi mwenzake...
Tamaa mbaya!Tamaa
PerfectWanawake hawajizalishi wenyewe...
Pamoja na kwamba kuna wanawake viburi na majeuri wasioweza kuvumilia ndoa lakini moja ya sababu ni ukosefu wa wanaume responsible
Sasa kama umemuona huyo Mwanaume sio responsible Kwa Nini uliamua kuwa naye?Wanawake hawajizalishi wenyewe...
Pamoja na kwamba kuna wanawake viburi na majeuri wasioweza kuvumilia ndoa lakini moja ya sababu ni ukosefu wa wanaume responsible
Kwa Nini Mali ipo juu? Au ndo imekuwa biashara?Suala la ndoa limekua jambo gumu kwa vijana,mahali iko juu,gharama za harusi ziko juu,ngono imekua jambo rahisi kupatikana,ugumu wa maisha unachangia.
Hamna perfect hapo,, Mwanaume akianguka kiuchumi tu ndo statement ya irresponsible ndo inatamkwa?Perfect
Ukiona watu wanazungumzwa sana jua wanapendwa.Mliwapumzisha hapa katikati,, saizi mmewaamkia tena[emoji2][emoji2]