Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Aliyetoa mimba hajaandikwa usoni cha msingi omba Mungu akupe mtu sahihi.Kuna singel mothers waliowahi kutoa mimba kabla na kuna ambao hawana watoto wametoa mara kibao
 
Kuna Uzi uliandikwa na jamaa kuhusu maswahibu ya mahusiano na single mother.

Kiukweli ni ngumu sana au asilimia chache single mother kukubari kuishi na kuachana na mzazi mwenzake.

Kuna sehemu huyu single mother ana mahusiano mapya mpaka kahamua kuishi na jamaa ,jamaa anajituma na mpaka single mother Kawa mzuri kupindukia.

Cha kushangaza mzazi mwenzake anaanza kurudisha mahusiano na kilicho nichosha anatumia nguvu nyingi kwa kupitia mtoto na pesa za hapa na pale.

Yani jamaa nashindwa kumueleza na mshikaji wetu kwenye hiyo sehemu ya single mother kwenye biashara duka lake la pombe.
 
Kuna Uzi uliandikwa na jamaa kuhusu maswahibu ya mahusiano na single mother.

Kiukweli ni ngumu sana au asilimia chache single mother kukubari kuishi na kuachana na mzazi mwenzake...
Dawa ya ma single mother ukikutana nae ni kumuongezea mtoto tu full stop, Msanue Mwana atakuja kulia mdomo Juu kama Mbwa.
 
JF unaweza dhani wote ni malaika, kuna mijitu imelelewa na single mothers ila ikiwa humu inajitutumua kama kenge
 
Habari! Kadri Miaka inavyoenda kumekuwa na ongezeko kubwa la Single mother's. Hapa Kuna makundi mawili ya Hawa single mothers, wengine wapo vizuri kiuchumi na wengine wanabangaiza. Je hili kundi la Hawa single mothers kuwa ni Moja ya Sababu ya kuvunjika ndoa nyingi na kuendelea kuongezeka tena masingle mothers wapya? Je masingle mothers wanaweza kuishi bila kuwa na uhitaji na Mwanaume? Obviously No! Wanasema every woman need a man, where is man come from? Sasa kama wanahitaji Mwanaume je wanaweza kudate na vijana wa under 30? Vijana wengi wa kiume above 30 wengi ni waume za watu. Bado naendelea kufikiria yaani single mothers ana watoto 3 bado anataka kuzaa na Mwanaume mwingine mpya (penzi jipya). Dunia Ina viroja na raha. Nini mtazamo wako.
 
Back
Top Bottom