Chanzo ni pale wanapoondoka nyumbani anaend wapi..!? mwanamke akiweza kuishi peke yake kwa asolilimia kubwa kuishi na mwanaume hatoweza.

Utawaacha Wazazi Wako Utaambatana na Mumeo.. Ila wengi wakiwaacha wazazi wao kabla ya kuambatana na mumewe anaenda kuambatana na Ghetto.. hiyo ni laana kiimani.
 
Mkuu Upo kama Mimi, single mother Wana shida zao.,utamfanyia kila jema..Ila baadae hatoona msaada wako..nami yalinitokea kama yako,mtoto wake nilikuwa namsomesha shule zaidi ya 1.5M kwa mwaka Ada nalipia

Yeye alikuwa Hana KAZI nampa pocket money kila mwezi huyo single mom zaidi ya laki3 hadi 4 maana tulianza kuishi naye..tumekaa zaidi ya miaka mi4 ya relationship baadaye tukaanza ishi wote...but ndani ya miezi 7 ya kuishi aliondoka kwangu bila taarifa .na hata sikumpiga sikuwahi kumdharau wala kumunyanyasa akasema anaenda tafuta new challenge (labda kudanga)...na kila hitaji lake nilimpa bila kinyongo ikiwa ni kumsomesha mwanae niliyekuwa namchukua kama mtoto wangu

Katoka kwangu Hana KAZI na familia yake naijua haina maisha kivile...now anahangaika mtaani ...na mwaka huu ndio nilikuwa nataka kumuoa just imagine, sema baada ya kuona na balance zaidi ya 4.8 ndani ndio akasepa nayo ikijua itamtosha now Hana kitu kashaimaliza..but God is great.naanza upya maisha

So nakubaliana na baadhi ya watu wa humu kuwa baadhi may be ya single mothers wanakuwa wamekata tamaa na mahusiano yao ya nyuma na hata umufanyie mazuri yapi Hana shukrani

Haya nimeyajua baada ya kukutwa kama ww
 
Pole sana mkuu,wanawake wa hivi wanatuharibia sana wanatufanya hata tulio waaminifu tuonekane wabaya
 
Chief apa wasiokuelewa yawabidi wazamie class kabisa na sasa tuliopanga tumeambatana na magetto ama nini 😄😄
 
Pole sana mkuu,

Bro, hakuna mwanaume timamu kiakili, mwenye kipato hata cha kuunga unga, asiye na familia anaweza kumtelekeza mzazi mwenzie na mtoto wake bila sababu nzito. Single mother ukiwasikiliza utawaonea huruma, kumbe usijue yaliyo nyuma ya pazia.

Hao watu hawabebeki. Atakushinda kama alivyomshinda mzazi mwenzie au atarudiana nae kwa siri.
 
Lakini sio wote wapo hivyo,kuna wenye misimamo thabiti na hawayumbishwi,ila wapo vichwa maji pia
 
Kwamba mtu akiwa singo maza tu automatically.anakua much know?
Ambao sio singo maza hakuna much know?
Kuna wanawake u-single mother wanautaka kwa nguvu tena kwa kuulazimisha.
Tena ukiwa mwanaume usiyekuwa na mambo mengi wanakuchukulia km mpole hivi ambaye mwanamke anataka kukuendesha anavyotaka.
Mwanamke anapanga analotaka, ukimwambia hivi hataki na tena anawasikiliza wazazi wake sana.
Sina usemi ila single mother wengine, ni much know ila siyo wote.
 
Du! Unajua kubuni mwanangu. Basi andika kitabu
 
🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu mko sawa?

Ninawasalimu kwa JINA LA BWANA mi ninaishi na mwanamke ambae nilimkuta ana mtoto 1 wa kiume na mtoto uyo anaishi na bibi yake uko kwao na mwanamke toka nimeishi na mwanamke uyu sasa ni miaka 4 kasoro tukibarikiwa kupata mtoto 1.

Niliwahi kumuuliza kuhusu baba wa mtoto niliyemkuta nae alinijbu hajui yuko wp kwan alikataa mimba. nilimdadisi kujua walikutana wp mpk wakapeana mimba na uyo mwanaume ni mwenyeji wa wp alinijbu walikutana Morogoro uko, sasa juzi kati hapa ilipigwa simu asubuhi nikaskia kama wanabshana kwny cm na kuhojiana cm ilipokatwa nikauliza kwan unavutana na nani?

Akajibu uyu ni baba mtoto wangu nikamuliza yuko wp akajibu yupo Singida na uko Singida ndo kwao na mwanamke wng nikamulza tena anafanya nn uko wakati ulinambia si mwenyeji wa uko na mlikutana Moro, akasema hata yeye hajui ila jamaa kasema amefika mpaka kwao na mwanamke wng na ameongea nao khs mtoto anataka amchukue. nikasema n jambo jema mpeni mtoto wake.

Tatizo limekuja huyu mwanamke anawasliana na jamaa kwa siri, je wakuu kunani?
 
Vikao vyote, manabii wote, matapeli wote na watu wote wanasisitiza

1. Usioe singo Maza, wagonge tu na kusepa. Isipokuwa umeona kaburi la x

2. Usisomeshe mchumba, hata mke msomeshe ufundi cherehani tu.


Mpe kiapo, akirudia unamtema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…