Rombo siendi hasa disemba ni nyama za makafara, wachaga wajinga sana nyie🤣🤣🤣mbuzi nyama kidogo unafikiri mbuzi a afika kilo 15? mbuzi aanakula mama kwa uzazi. Kila week nachinja kuku wawili😎 afurahi mke wangu. .
nitakualika ikichinja Rombo kule nawez China ng'ombe ila mpaka December bado mapem sana kupanga kupanda🙃
Nashukuru unakumbuka wema wangu kwako myX🤣Uko sahihi kabisa mkuu japo mimi sijawahi kuamini kuwa wanaume wote ni mbwa sbb nishakutana na wanaume wema kama malaika🙏
Everybody needs somebody. Hela haiwezi kuondoa upweke wote, na haiwezi kureplace nafasi ya mtu kwenye maisha., it's better to have self love.
Tunasubirihaha nikipanda December naenda China ng'ombe mkuu Rombo nitaposg humu nitawakaribisha humu. .
UmewazA vyema ila pesa huisha na sio wote watafanikiwa kuwa na pesa yakuwafutia hiyo laana ndo mana nikawaomba kaka/baba zetu wasi generalizeUkiona umeshakuwa single mother, kinachobaki wewe Ni kutafuta pesa tu, single mother ukishakuwa na pesa hmna mtu atasema una laana, Tena ikiwezekana wakariri wale unaoona wanakusimanga na usingo mother wako, kao ndo wa kuwanyima pesa pindi utakapozipata. Kwa miongo mingi tumejizoesha kuishi kwa approval ya watu, it's better to have self love.
Naenda Chinja ng'ombe mh bung'a pa kanara wewe kama huli ni wewe, nawatolea wazee wangu wa zamani🤣Rombo sienda hasa disemba ni nyama za makafara, wachaga wajinga sana nyie🤣🤣🤣
Silagi nyama za matambiko.Naenda Chinja ng'ombe mh bung'a pa kanara wewe kama huli ni wewe, nawatolea wazee wangu wa zamani🤣
Biblia inasema kimuongiacho mtu sio dhambi bali oimtokacho. Wewe nyama inakusumbua nini? 😀
Hiyo ni nature. Mpenzi wako akikufanyia jambo zuri, utamsifu sana yeye peke yake. Ila huyo huyo akikuumiza, utapeleka lawama kwa wanaume wote.Uko sahihi kabisa mkuu japo mimi sijawahi kuamini kuwa wanaume wote ni mbwa sbb nishakutana na wanaume wema kama malaika🙏
Tatizo lenu nyie mkisikia "shangazi" picha inayowajia ni mwanamke fulani mnene, mweupe, ana hela nyingi.🤣🤣🤣 shangazi hawana maziwa ya moto hata kidogo. Mpaka nikawa najiuliza mashangazi anayokutana nayo Analyse ni wanatokea mkoa gani?
Sijaangalia upande mmoja bali nimesema mwanamke anayeweza kutegesha mimba tayari huyo ni kichomi maana akili zake tayar zinaonesha hazifanyi kazi.So tatizo lako unaangalia upande mmoja Wengine wanastahili kuwa single mothers kwa uzembe tu 🤔
ila kwa case chache haimaanish wanadharaulika 😀 what do you want me to say?
I still see single mothers wakiolewa ukisoma mtandaoni utadhani single mothers hawaolewi🤣
Kama unaona watoto kuteseka sbb ya uzembe wa mama zao ni sawa basi sawa ila hicho ulichouliza jibu lake liko hapo kwenye koment yangu uliyoiquoteUkijilengesha mimba kwa kuwa umeona jamaa anakaupepo ka hela mtateseka tu. Kama jamaa anaonesha hana nia ya kuwa na wewe on permanent terms kwanini umbebee mimba?
Umuch know ni tabia ya mtu tatizo tunashupaza shingo tu hatujui sisi watoto wetu wa kike watafikwa na nini huko mbeleShida Yao ni much know kupita maelezo
Mnajilengesha ili iweje? Muhudumiwe for the rest of your lives kisa mtoto?Kama unaona watoto kuteseka sbb ya uzembe wa mama zao ni sawa basi sawa ila hicho ulichouliza jibu lake liko hapo kwenye koment yangu uliyoiquote
Kwa sababu ni vizuri mtu ukawa una advance kila siku ni kweli pia unahitaji mentor.Mkuu, Mimi pia natafuta Mentor
muendelezo upo lakini atauleta tu kwa kujisahau😀Kwamba kuna muendelezo?😅