mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 737
- 1,002
Chukua huu ushauri ndugu mtoa mada,ukifuata ushauri wa watu wengine humu watakukatisha tamaa,kama umependa na mmeridhiana muoe.Oa tu kama mnapendana huna haja ya kutaka ushauri wa mtandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua huu ushauri ndugu mtoa mada,ukifuata ushauri wa watu wengine humu watakukatisha tamaa,kama umependa na mmeridhiana muoe.Oa tu kama mnapendana huna haja ya kutaka ushauri wa mtandaoni
Asante mkuu,umejibu vyema sanaSingle mothers ni wanawake kama wengine tuu na wote wanakuja na tabia na sifa tofauti kama wanawake wengine tuu, ni vijana wajinga tuu na wasio na akili wa JF wanaoogopa kuoa single mothers kwa sababu wanaogopa watachapiwa, wengine ni single mother kwa sababu walikuwa katika mahusiano ya hovyo (abusive) sasa wametoka, wengine mwanaume alikuwa kila kona nyumba ndogo, mlevi na hajali familia etc acheni huu ujinga
Tena yule binti mmewe masking masking kuliko mme wangu basi dada anajiketaleta yule jmnWalikua hawajamaliza safari yao ya mapenzi hao
Kwani hao mabint ndio wakamilifu?? Acheni kupotosha na kuwakatisha wenzenu tamaa,wapo single mother wenye akili timamu na wenye misimamo yao hawayumbishwi na ma ex,wameachwa wakaachika.Jichanganye, mabinti hauwaoni badae uje kulialia hapa
Wazazi huwa hawaachi milele. Ukiona baba mtoto anapiga simu kumsalimia mwanae au akimwambia mkeo amlete mtoto amuone. usikasirikeNaombeni ushauri wenu wadau.
Huyu single mother ana mtoto mmoja alishawahi kuolewa akaachika kama miaka miwili imepita tangu aondoke Kwa mumewe.
Usitudanganye hata ukituita watu wa ovyo. Wazazi huwa hawaachani hata siku moja. HAPANA. BIG NOSingle mothers ni wanawake kama wengine tuu na wote wanakuja na tabia na sifa tofauti kama wanawake wengine tuu, ni vijana wajinga tuu na wasio na akili wa JF wanaoogopa kuoa single mothers kwa sababu wanaogopa watachapiwa, wengine ni single mother kwa sababu walikuwa katika mahusiano ya hovyo (abusive) sasa wametoka, wengine mwanaume alikuwa kila kona nyumba ndogo, mlevi na hajali familia etc acheni huu ujinga
Sikushauri uoe single maza yaani huyu sku baba mtoto akimtaka ni lazima ataenda kwa baba mtotoNaombeni ushauri wenu wadau.
Huyu single mother ana mtoto mmoja alishawahi kuolewa akaachika kama miaka miwili imepita tangu aondoke Kwa mumewe.
Wewe ni zaidi ya mpuuzi au ni bwanamdogo sana na inawezekana uko form oneUsitudanganye hata ukituita watu wa ovyo. Wazazi huwa hawaachani hata siku moja. HAPANA. BIG NO
Mkuu kuna mtoto kuugua, kutaka kumuona baba yake. Siku mtoto ameumwa halafu baba mtoto akaambiwa akamwambia mkeo aje hospitalini. Amefika mtoto kalazwa, wewe ambaye siyo baba yake una nafasi hapo? watashirikiana na watagongana vizuri. kipindi hicho wewe upo nyumbani
Acha kushauri watu ujinga. Single mother aolewe na single father na siyo mtu hauna mtoto halafu umuoe. Utakufa kwa presha.
Mwanamke yoyote duniani huwa haachani na mzazi mwenzake hata kupasha kiporo anapasha kiroho safi
Usitake kuwaingiza chaka vijana wa watu. Mbona sisi wanaume tukiwa hatuna hela mnatuambia tuache kulia lia tutafute hela ndipo tutafute mapenzi ?Single mothers ni wanawake kama wengine tuu na wote wanakuja na tabia na sifa tofauti kama wanawake wengine tuu, ni vijana wajinga tuu na wasio na akili wa JF wanaoogopa kuoa single mothers kwa sababu wanaogopa watachapiwa, wengine ni single mother kwa sababu walikuwa katika mahusiano ya hovyo (abusive) sasa wametoka, wengine mwanaume alikuwa kila kona nyumba ndogo, mlevi na hajali familia etc acheni huu ujinga
Sio kudharauliwa ni kupewa hadhi yao. Kwahiyo akija mtu hapa anaomba ushauri kuwa anatembea na mke wa mtu unataka tuseme anapatia na tumuunge mkono?! Ushauri tunaowapa wanaotoka na wake za watu unapishana padogo sana na hawa wanaotoka na masingle mother.Single maza wanazaraulika hadi sio poa
Kwan wanaoyumbishwa wanakuwa sio timamu? Ni swala la kisaikolojia. Mtu ambaye amepata nae mtoto huyo ni mwenzake kimwili na roho na kwenye akili yupo.Kwani hao mabint ndio wakamilifu?? Acheni kupotosha na kuwakatisha wenzenu tamaa,wapo single mother wenye akili timamu na wenye misimamo yao hawayumbishwi na ma ex,wameachwa wakaachika.
Kama mimi ninachagua ku sacrifice kuoa mwanamke ambaye alishazaa before, then na yeye afanye ku sacrifice kumuachia huyu mtoto akitimiza miaka 7 aende kwa baba yake mzazi wakapambane huko na nisisikie ameniletea story za nimeenda kumsalimia mwanangu, atazaa watoto wengine ndio watakuwa watoto wetu na ndio tutawalea na kufurahia maisha.Usitudanganye hata ukituita watu wa ovyo. Wazazi huwa hawaachani hata siku moja. HAPANA. BIG NO