Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Sio kudharauliwa ni kupewa hadhi yao. Kwahiyo akija mtu hapa anaomba ushauri kuwa anatembea na mke wa mtu unataka tuseme anapatia na tumuunge mkono?! Ushauri tunaowapa wanaotoka na wake za watu unapishana padogo sana na hawa wanaotoka na masingle mother.

Hebu mtuache na maamuzi yetu. Wanaume tukiwezeshwa kutafuta bikra tunaweza, wanaume hoyeeeeeee.
Huu ni zaidi ya ushamba, nyie ndio mnaopiga na kuwanyima Chakula watoto wenu wakikosea
 
Naombeni ushauri wenu wadau.

Huyu single mother ana mtoto mmoja alishawahi kuolewa akaachika kama miaka miwili imepita tangu aondoke Kwa mumewe.
mapenzi yasikupofushe
 
Weee jamaa akili Haina au? Single mother wa nn Sasa huyo kula sana mzigo ,, harafu tafuta kademu kadogo kabichi ndiyo unaoa ,, ungekuwa karibu yangu ungepigwa vibao tu ndiyo akili ikukae sawa
 
Naombeni ushauri wenu wadau.

Huyu single mother ana mtoto mmoja alishawahi kuolewa akaachika kama miaka miwili imepita tangu aondoke Kwa mumewe.
Ogopa wanawake wenye hard past. Kuwa makini, shida yao huwa wanakuja kukazwa na wazazi wenzao.
 
Weee jamaa akili Haina au? Single mother wa nn Sasa huyo kula sana mzigo ,, harafu tafuta kademu kadogo kabichi ndiyo unaoa ,, ungekuwa karibu yangu ungepigwa vibao tu ndiyo akili ikukae sawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naombeni ushauri wenu wadau.

Huyu single mother ana mtoto mmoja alishawahi kuolewa akaachika kama miaka miwili imepita tangu aondoke Kwa mumewe.
usijekasirika baba mtoto akiomba apelekewe mtoto asalimie na watalala hukohuko
 
Salamu.
Sijui kuna nini kimetokea mwezi huu wa saba na wa nane.Hizi nyuzi zimekuwa nyingi kama za dp weldi. jamani haya maisha hayana formula hasa kwa hawa akina dada.Sio kwamba wanapenda bali ni mitihani ya maisha na majaribu kedekede wanayopitia.

Wanajikuta tayari wameshaingia sehemu ambayo siyo iwe kwa kupenda au kutopenda au kwa makusudi au bahati mbaya au kwa kusababisha au kusababishiwa.

Wanatakiwa kusaidiwa na sio kuwakomesha na kuwasema na kuwalaani kama vile sio binadamu.Kumbukeni wana viumbe ambao ni watoto na ndio taifa la kesho sàsa wanahitaji msaada ili walee watoto wao vizuri.

Hawa wadada hawana matatizo wanapenda sana ndoa lkn vijana ndio wamekuwa waharibifu wakubwa kwa mabinti na wadada.Na wakati mwingine mpaka wababa wakubwa tu wamekuwa wanawashawishi hawa mabinti na wadada halafu badae wanawaacha matokeo yake ndio haya sàsa.

Pia dunia ya sàsa imekuwa na maadili duni tofauti na ya wazazi wetu wa zamani.Sasa hivi hakuna hofu ya Mungu hakuna dini hakuna nidhamu utandawazi umevamia tamaduni za afrika yaani kila kitu ni zig zag haeleweki mtoto nani binti nani mkaka nani dada baba mama kila mtu yuko zig zag mmonyoko wa maadili yote haya yanachangia hawa wamama wasioolewa wenye watoto.🤨

Kwa hiyo hawa wamama wanahitaji msaada na sio kuwalaumu kujikwaa kupo hata vijana mbona wengi wapo wapo tu hawaeleweki ila kwa sababu hawazai ndio maana hawaonekani lkn maisha yao hayapo vizuri ndio wakati mwingine inakuwa sababu ya kuwepo wawa wamama wengi.

Mwanaume utakuwa hodari ikiwa utajaribu kuwasaidia hawa akina Hawa yaani atakukumbuka maisha yake yote.Na utakuwa umetoa mchango mkubwa sana kwenye jamii hii ya sàsa inayokwenda mrama.

Ninyi mnaoendelea kuwasema muache na kama mnaendelea mtakipata mmachikitafuta.Hakuna binadamu mkamilifu hapa duniani.
 
Sawa msemaji wa single mothers 😂😂😂
 
Mbona nyie hamchoki kuwananga wanaume eti wana vibamia?, au sijui moja chali kama jogoo linalojifunza kuwika?.

Kila mmoja ashinde mechi zake
 
Usiwe serious sana, maana wanaume wengi wanaopenda mada hizi ni wale walio na stress za kupigwa tukio na single mothers

Kiuhalisia mahusiano yote huwa Yana changamoto ila single mothers huwa wanachukuliwa point tu
 
Salamu.
Sijui kuna nini kimetokea mwezi huu wa saba na wa nane.Hizi nyuzi zimekuwa nyingi kama za dp weldi. jamani haya maisha hayana formula hasa kwa hawa akina dada.Sio kwamba wanapenda bali ni mitihani ya maisha na majaribu kedekede wanayopitia.

Wanajikuta tayari wameshaingia sehemu ambayo siyo iwe kwa kupenda au kutopenda au kwa makusudi au bahati mbaya au kwa kusababisha au kusababishiwa.

Wanatakiwa kusaidiwa na sio kuwakomesha na kuwasema na kuwalaani kama vile sio binadamu.Kumbukeni wana viumbe ambao ni watoto na ndio taifa la kesho sàsa wanahitaji msaada ili walee watoto wao vizuri.

Hawa wadada hawana matatizo wanapenda sana ndoa lkn vijana ndio wamekuwa waharibifu wakubwa kwa mabinti na wadada.Na wakati mwingine mpaka wababa wakubwa tu wamekuwa wanawashawishi hawa mabinti na wadada halafu badae wanawaacha matokeo yake ndio haya sàsa.

Pia dunia ya sàsa imekuwa na maadili duni tofauti na ya wazazi wetu wa zamani.Sasa hivi hakuna hofu ya Mungu hakuna dini hakuna nidhamu utandawazi umevamia tamaduni za afrika yaani kila kitu ni zig zag haeleweki mtoto nani binti nani mkaka nani dada baba mama kila mtu yuko zig zag mmonyoko wa maadili yote haya yanachangia hawa wamama wasioolewa wenye watoto.🤨

Kwa hiyo hawa wamama wanahitaji msaada na sio kuwalaumu kujikwaa kupo hata vijana mbona wengi wapo wapo tu hawaeleweki ila kwa sababu hawazai ndio maana hawaonekani lkn maisha yao hayapo vizuri ndio wakati mwingine inakuwa sababu ya kuwepo wawa wamama wengi.

Mwanaume utakuwa hodari ikiwa utajaribu kuwasaidia hawa akina Hawa yaani atakukumbuka maisha yake yote.Na utakuwa umetoa mchango mkubwa sana kwenye jamii hii ya sàsa inayokwenda mrama.

Ninyi mnaoendelea kuwasema muache na kama mnaendelea mtakipata mmachikitafuta.Hakuna binadamu mkamilifu hapa duniani.
Nakuona balozi wa single moms,

Unafikiri ukiwatetea ndo utapata nyapu za buree,enhee

Ahaaaaaa
 
Mbona nyie hamchoki kuwananga wanaume eti wana vibamia?, au sijui moja chali kama jogoo linalojifunza kuwika?.

Kila mmoja ashinde mechi zake
Aahaaaaa,kwahiyo ngoma ni bila bila,
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kila binadamu alipewa Akili ya kukwepa majaribu na vishawishi.

Msichana yeyote ana ufahamu wa kwamba nikifanya ngono siku za hatari nitapata mimba, Hivyo hakuna mimba ya bahati mbaya.

KATAA SINGLE MAZA

Single Maza ni laana.
 
Back
Top Bottom