Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Huu ni zaidi ya ushamba, nyie ndio mnaopiga na kuwanyima Chakula watoto wenu wakikoseaSio kudharauliwa ni kupewa hadhi yao. Kwahiyo akija mtu hapa anaomba ushauri kuwa anatembea na mke wa mtu unataka tuseme anapatia na tumuunge mkono?! Ushauri tunaowapa wanaotoka na wake za watu unapishana padogo sana na hawa wanaotoka na masingle mother.
Hebu mtuache na maamuzi yetu. Wanaume tukiwezeshwa kutafuta bikra tunaweza, wanaume hoyeeeeeee.