Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Ubinafsi unatumaliza.

Mtu anaweka katika mzani ;

Manufaa yake na familia yake au wananchi ambao hana undugu nao??

Binadamu tumekua wabinafsi mno.
 
Kmmakee..
 
Kwa kifupi Huyu mama kupata kura 2025 kutokea BARA asahau.
 
Mimi nilipoona Mzazibar tena MWANAMKE alafu muarabu mwenye ndugu zake Oman, sijui wajomba zake ni magavana Omani ati ndio raisi wa Jamuhuri nikbjua picha limeishia hapo.
 
Mkuu hata kwenye chaguzi zetu kuna wizi mkubwa sana wa kura, je tubinafshe tume ya uchaguzi? Na kwenye mahakama zetu tatizo ni hilo hilo la rushwa. Je mahakama zetu tunabinafsisha lini na kwa mwarabu wa wapi ili kupata ufanisi?
Ndio maana wapinzani wanataka katiba mpya hii nchi inahitaji uono na maendeleo.
Sio chama kwanza inatakiwa nchi kwanza
 
Wabunge wanawaza uwaziri tu na future ya familia zao.

Hakuna anayekumbuka wasiokua nacho.

Hili jambo halina manufaa yeyote kwa mwanchi wa kawaida isipokuwa tu kuongezeka kwa umaskini na kugeuzwa watumwa kwenye nchi yao.
Dhalimu ndio alishurutisha kupatikana kwa bunge la hivi kuwa ni wazalendo, sasa, sasa tunajionea wazalendo wakifanya mambo ya kizalendo kwa nchi yetu.
 
Ndio maana wapinzani wanataka katiba mpya hii nchi inahitaji uono na maendeleo.
Sio chama kwanza inatakiwa nchi kwanza

Mkuu katiba haileti ugali mezani, ama hujasikia hizo lugha?
 
Kwa kifupi Huyu mama kupata kura 2025 kutokea BARA asahau.
Hategemei kura, tume ya uchaguzi itapewa maagizo ni kura kiasi anataka atangazwe nazo. Dhalimu alishapanda mbegu mbaya kwenye chaguzi zetu.
 
Mnataka kuharibu Muungano. Rais Samia anafanya vitu kwa ajili ya watanganyika then ninyi mnaanza kuleta ubaguzi. Mbona mpo hivyo???
Kwa hiyo muungano utaimarika kwa Samia kuuza ardhi na rasilimali za Tanganyika?
 
Hategemei kura, tume ya uchaguzi itapewa maagizo ni kura kiasi anataka atangazwe nazo. Dhalimu alishapanda mbegu mbaya kwenye chaguzi zetu.
Kwa kifupi watanganyika amesha chafukwa akifanya hivyo polisi hawatatosha.
 
Ila wakuu lazima tukubali sisi waTZ ni mafala. Kama tumeshindwa kuzuia hili tutaweza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…