Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

Mbona kama hii nchi kila mtu anaamua kivyake
 
Kwani akilishwa Kwa lazima hatoshiba?
 
Hatari sana,hivi hao walienda kama wageni,ndugu au mawakili? Je,kama ni mawakili,wanamwakilisha Lissu kwenye kesi hipi kamanda?
Kesi imeisha? Au ukisubiri hukumu sheria zinasimama?
 
Warumi 14:17 (SUV)

“Maana ufalme wa Mungu si kula wala kunywa, bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu''.
 

..Magereza wamekosea kukaidi hukumu ya Mahakama.

..Kwamba mpaka sasa hivi Mkuu wa gereza la Ukonga hajafukuzwa kazi ni jambo la kustaajabisha.
 

UKISIKIA kelele za baada ya kupombeka ndio hizi

Mjomba Lissu ni mwenye kitambi kikubwa

Tangu lini mwenye kitambi
kafanya mgomo wa kula yeye uwezo wake ni kugomea kuchana nywele tu sio kugomea tumbo
Tumbo litampeleka ulipo msosi kwa hiyari yake ❗ Ikumbukwe Lissu kashadai kugomea kula tangu kitambo lkn kachemka kugomea msosi

Ktk ulimwengu wetu mtu mwenye kitambi hawezi kugomea Msosi
 

Attachments

  • Screenshot_20250903-155409.jpg
    115.5 KB · Views: 3
Hapana !

Yupo updated ya nini kinajiri jikoni!

Hawezi tangaza hunger strike kizembe anajua anachokifanya!
 
Lissu hakutangaza
mgomo wa kula ❗ ❗

Kwanza Katangaza mgomo mwengine sio mh Lissu
mwenyewe

lkn mbaya zaidi Kaja kututangazia sisi tusio husika na kumpa Msosi ndugu Lissu

Yeye mwenyewe mjomba Lissu hasipate shida kutwambia sisi Wananchi tupo huru
tunabunganya KUKU kwa time zetu

kama kachoka kula Dona na nyama jumapili kama leo basi awaambie wenye kumpa Msosi
sio sisi Wananchi uraiayani huku !!

Msosi upo kisheria kwa mfungwa yoyote!!!

kama vip Mwanasheria wake si hangetakiwa kuandika barua ya kisheria kwenda Magereza kugomea
msosi kisheria ✍️

Kaja kuongea na Wananchi swala binafsi kwanini lile la Wananchi wote Siasa mpaka kwenye kitambi cha Lissu 🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…