Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Unajilinganisha na familia? Hiyo familia ina umri gani
 
Mleta uzi acha upuuzi, kama unataka mafanikio Dunia hii oa mwanamke wa familia tajiri ukimpata, kama Isaya Yunge ameshauga umasikini.
 
Bora hata huyo mwanamke kama angelikuwa upande wako ningesema kaza tulia nae, ila yeye na wazee wake wote lao ni moja basi fanya namna ya kuachana nae kwa amani ujenge maisha yako.

#Hallelujah!!!
 
Hataki maagizo yangu yaani mpaka aamur yeye kufanya kutokufanya tendo la ndoa mpaka nimbake hii ndio kesi iliyotupeleka ukweni
Hakuna mke hapo nisikufiche kama hapo unapokaa ni kwako fanya kumpa talaka aondoke zake.

Kwanza kabla ya uamuzi nikuulize wewe ni dini gani? Umezaa naye mtoto/ watoto? Je nyimba mnayokaa ni ya nani?
 
Umeoa vipi bila kuichunguza familia unayooa vizuri?

Hili ni kosa lako wewe mwenyewe moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…