Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,963
- 5,757
Ulitakiwa uteme nyongo palepale bila kuwatolea lugha chafu yeyote ile. Pia mke umwache palepaleNi kweli ulichoandika mkuu kuna kiwanja kikubwa hapo mjini kati kikubwa tu na nyumba ya kaghorofa ikajengwa tuishi kule ila nilivyooana dharau zimezidi nikaenda kupanga sasa ndio hiyo nyumba ambayo baba amenipiga nayo usoni leo kafunua makucha kmmk
Mchumba wangu mtoto wa Joshua๐คฃ๐คฃwapi huko๐
zoea sasa kulewa kama brother ako min -meYaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
mambo safi ya gen z ni mbaya sanaSi tulikubaliana muoe mambo safi msaidiane majukumu????
Sisi njaa kali tuko bench tunasikilizia milio
Msimamo ndio huo huo, haujabadilika. Huyu sio msemaji rasmi wa wanaume.Si tulikubaliana muoe mambo safi msaidiane majukumu????
Sisi njaa kali tuko bench tunasikilizia milio
Hata hawajui nini wanataka๐คฃ๐คฃnyie tena, hamtaki kujiattach kwenye familia za kishua?
Atavumilia kwani hakuwa na mtaji?Mimi wala sina neno, naisubiri tu yule binti wa Ruto a.k.a kasongo aanze kumpelekesha yule ngosha mwenzangu.
In shot mimi naangalia tu! ๐
Seran.
๐๐๐ Poor Brain ananimaindi ninemmkataa mshangazi wake aisee.
Mimi bado natakanyie tena, hamtaki kujiattach kwenye familia za kishua?
acha wanyooshwe si wameamua kudanga ๐๐Hata hawajui nini wanataka๐คฃ๐คฃ
Sio wote mkuu.Hata hawajui nini wanataka๐คฃ๐คฃ
Nipo tayari kunyooshwa aiseeee na huyo mwanamkeacha wanyooshwe si wameamua kudanga ๐๐
Atakayewazika hamumjui๐คฃ๐คฃSio wote mkuu.
Kuna sisi hatubagui wala hatuchagui
Nashangaa sana..Atakayewazika hamumjui๐คฃ๐คฃ