Mwezi mzima nambembeleza haelewi na mahari kalipiwa si dharau hizi mkuu halafu nikichepuka naitwa malaya dharauSasa kama ni kweli mdogo wangu unafanya vibaya Sanaaaa.
kuwa romantic jaribu kujishusha muende sawa.
Swala la mapenzi si la kubakana anaona kero!!!!!
jaribu kuwa unamuandaa kuanzia akilini pale kitandani huwa ni kumalizia tu!!
Huu ushauri uwekewe lamination kwaajili ya vizazi vijavyoWewe itakuwa Kuna favor ulipokea Yale Yale mnapewa Kiwanja wakati wa harusi unaanza Kujenga apo Kwa akili kuwa ni kwangu au mnapewa nyumba na Wewe unahamia
Huyo ni Mkeo Ingekuwa Mimi apo mzee mbona angejua hajui kwanza mtu akishakuwa mke wangu Mimi ndio Nina final say nae
Sasa mzee anafanya intervention Kwasbabu Kuna sehemu ulionesha weakness narudia usi accept favor za ukweni hata uwe na shida kiasi gani this is for your own peace of mind hapo baadae ukiweza limit kabisa interaction ya familia yako na ukweni iwe kidogo sana
Kule Kenya Mike Mbuvi Sonko yule Ex governor wa Nairobi alienda Kwa mkwewe na mabaunsa Yani imagine mpaka baunsa wanampiga makofi jamaa kisa tu mtoto wa kike wa Sonko kapigwa na Mumewe, Mike Sonko alienda mbali na kumwambia jamaa kuwa anawalisha na anasomesha wajukuu zake bado anatesa mwanae
Sasa unaona huu upuuzi wote umeletwa na Ujinga wa mshikaji tu kuruhusu Favor za ukweni kwenye Maisha yetu haya kama mwanaume have some principles ukizi violate wakati huu who for just personal gain just consider it as a loan, You will pay it later miserably
Mwezi mzima nambembeleza haelewi na mahari kalipiwa si dharau hizi mkuu halafu nikichepuka naitwa malaya dharau
MWaka wa nne huu mkuu raha niliipata wakati hatujaoana lakini toka nimeoa ni tafrani yaani naona kabisa naenda kuchanganyikiwatendo la ndoa kwa njia ya kawaida hii au kinyume?mana kuna kesi za badhi ya wanaume kuomba kuwaingilia kinyume
.ila kama ni kawaida kwa njia ya asili sio kesi ya yeye kukufikisha baraza la wazee.
na wanawake nao ni binadamu kuna wakati wanachoka kuna wakati wanaumwa pia na kuna wakati anakuwa hajisikii kwa sababu mbali mbali.
SO akikwambia nimechoka napumzika napumzika ,ama kichwa kinauma ,ama nimepata habari mbaya nina mawazo fulani unamuelewa .
Chakula ni issue ndogo kama sio mara kwa mara inatokea kusema amechoka kupika ,ila kama ni kila siku hakupikii hiyo ni issue.(ni petty things )
ila umesema main issue ni kupangiwa unyumba,kama sio mara kwa mara hayo yanazungumzika ni kiasi cha kumuelewa mwenzako.
SIJAONA sababu kubwa ya Kupelekea kumfikiria vibaya ,au KUACHANA .(Trivial)
Sasa utafanyaje na ulitoa pesa zote hizo kumuoa kwani hukumjua tabia yake?Yeye huwa anaondoka upepo ukikaa sawa anarudi yaani tunaishi kama Israel na Palestina amani ya kudumu hakuna kazi haziendi navurugwa tu huyu mwanamke kaniweka sehem mbaya
Wewe ni mkurya?Mwezi mzima nambembeleza haelewi na mahari kalipiwa si dharau hizi mkuu halafu nikichepuka naitwa malaya dharau
Dharau tu ndoa ina mwaka wa nne nishachanganyikiwa nimemwambia asirudi kwangu yaani ntahama soon
kama hana mood ukifanya kwa kulazimisha inakuwa ni kuchubuana na kumsababishia maumivu.Mkuu nilimbaka jana usiku baada ya kuona haki yangu sipewi kistaraabu asubuhi kawasha chuma mpaka kwao mimi sikwenda job nikaenda huko kwao maana sikujua kama nini kinataka kuzungumzwa
NImegundua kati ya wanaume 100 waliooa wanawake ambao wanatoka familia za kitajiri ni wanaume wachache sana wanaoishi kwa furaha waliobaki huwa mandondocha
Mi mwanamke ndugu yangu tulia. mke watamchukua tu wanaume hawajawahi kuisha.Fiction? njoo nikupee mke wangu bure staki
naunga mkono hoja 📌hii habari ni fiction???
naunga mkono hoja 📌
Cc.Familia inaweza isikudharau ila mwanamke akishakuzidi mali na elimu ni ngumu sana kuji-control asikudharau.