Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Ukioa kwenye hela na wewe huna hela au status, lazima utaonekana kolo ukweni. Na wao wataona sio hadhi yao, au umekuja kutaka kitonga.
Ni sawa uoe familia watu wamebukua. 😊
Wanakuona MEMKWA tuu.
Unaweza ukaoa kutoka familia ya kawaida, halafu Neema ya Mungu ukakutana nayo mbele ya safari.
Mchengerwa alimuoa Wanu kipindi mama mkwe wake alikuwa hana urais wala umakamu
 
Pole sana mkuu,
Inaonekana mmeoana mkiwa mpendani mapema
 
Unaweza ukaoa kutoka familia ya kawaida, halafu Neema ya Mungu ukakutana nayo mbele ya safari.
Mchengerwa alimuoa Wanu kipindi mama mkwe wake alikuwa hana urais wala umakamu
Alikuwa ni Waziri kwani Waziri ni mtu mdogo.

Pia mtu aliyetokea kwenye humble life hata akipata neema baada ya kuwa nae kwa muda mrefu ni tofauti kidogo na kuwa na ambaye anaye kuzidi kila angle since day one.
 
Asnate mkuu
 
Mbaya sana mkuu ni vile hatusemi ila familia nyingi za kitanzania ambazo unaziona zina maisha ya kitajiri zina shida sana ni vile wengi tunakuja kujua tushazama kutoka ni kipengele. Nachoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…