Hili la kodi ya pango kulipa mwenye nyumba kama ni kweli limebadilishwa basi sisi tuliokuwa tunapinga hili wametusikiliza

Na nawapongeza kwa hilo lakini pia bado sijajua vizuri zile tozo zingine za kutoa pesa pale kwa dirisha nazo zipo au mimi ndio sijaelewa.
 
KIBARAKA WEYE!
 
Kwenye Kodi ya nyumba kwamba atalipa mwenye nyumba badala ya mpangaji is a game of minds!

Hii ni sawa na mganga wa kutibu ambaye anaweza kuhamisha jipu toka kwapa ya kushoto na kupeleka kwapa ya kushoto na kutamba kwapa ya kushoto iko salama.

Kodi ya nyumba itapanda, mpangaji hajapona jipu kwenye mwili wake, limhamia sehemu nyingine ya mwili!
 
Huyu jamaa ni janga kwa Taifa. Ni vile tu Nchi yetu ni ya One Man Show!

Tungekuwa na utawala bora na wa wazi, alitakiwa alazimishwe kujiuzulu. Maana hana uwezo wa kuongoza hii Wizara kwa ufanisi.
Acha tu.

"Kusamehe tozo ya miamala kwenye utoaji wa fedha taslimu kupitia wakala wa benki yaani ATM kwenye miamala yenye thamani ya chini ya tsh 30,000/="


Wanavyo sema kusamehe kama vile tumefanya kosa kuhifadhi hela kwenye banks.
 
Iyo no nne namna GANI pale , mfano mwanafunzi,au mfanyakazi ambae Sasa anatoa pesa atalazimika kuwa anatoa elfu thelathin ili akwepe Makato , Hawa watu wa Mipango wanajielewa kweli ?

Mabenki yanalipa kodi pitia miamala mbalimbali inayofanywa na watanzania, tozo za benk zinatakiwa kuondoka zote, Mambo kama haya ya ajabu ndo maana mnazalilishwa nje HUKO,

Waziri jiuzuru ijulikane MOJA ,
 
Nani aliwashauri kuziweka hizo tozo na viwango vyake mara ya kwanza kabla ya kusikia kilio hiki?
Ukiombwa utoe risiti za malipo ya Kodi huwezi kutoa. Halafu kutwa kucha unashinda humu na malalamiko ya serikali haijuhudumii. Wenzako wakatwe Kodi wewe unakuza masaburi tu.
 
Waenda na biti mmeanza panya nyie. Si mlikuwa mnatetea Tozo mnasema ni lazima zilipwe na mkaisifu serekali na kuainisha sijui zinajenga vituo vya afya vingapi sijui. Hebu oneni aibu saa zingine kuwa mabendera fata upepo
Unajua wangapi wanalipa Kodi kati ya wanaostahili kulipa?. Je njia rahisi ni ipi ya kuwafanya walipe pia?
 
Acha tu.

"Kusamehe tozo ya miamala kwenye utoaji wa fedha taslimu kupitia wakala wa benki yaani ATM kwenye miamala yenye thamani ya chini ya tsh 30,000/="


Wanavyo sema kusamehe kama vile tumefanya kosa kuhifadhi hela kwenye banks.
Yaani hapa tumepigwa changa laacho. Kiufupi bado tozo zipo kwenye hiyo miamala ya kibenki! Sasa elfu 30 ndiyo hela gani hiyo katika dunia ya sasa!!
 
Halafu baada ya kuongea hayo atatarajia kusifiwa...

Tengeneza tatizo, rekebisha tatizo, then pata ujiko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…