Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Asiesikia la mkuu, huvunjika guu.Huyu mama tulimwambia vunja bunge hakusikia sasa wanamkwamisha ili 2025 akatwe nyuma mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiesikia la mkuu, huvunjika guu.Huyu mama tulimwambia vunja bunge hakusikia sasa wanamkwamisha ili 2025 akatwe nyuma mbele.
Kuna mbinu chafu zinaonekana wazi za kumnyofoaHuyu mama tulimwambia vunja bunge hakusikia sasa wanamkwamisha ili 2025 akatwe nyuma mbele.
2025 iwe fundisho, waliokuwemo na wasiokuwemo wote wapigwe chini tuanze upyaMhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba.
"Nitoe rai kwa wananchi kuwa Serikali imesikia malalamiko ya wananchi na tayari tumeendelea kuyafanyia kazi, Waziri Mkuu ameshaitisha kikao kesho kuendelea kupitia masuala haya haya."
"Kwa sababu hii ni sheria ya Bunge, na tayari imeshapitishwa na inatakiwa kutekelezwa, lakini kuna maeneo ambayo yanaangukia kwenye kanuni ambazo zinaangukia Wizara ya Fedha na Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano."
umeona ee Hawa wapuuzi wanatufanya mazuzu Sana yaani wanatengeneza tatizo halafu wanajifanya wanakuja kutatua shwaini!Kama kawaida ya CCM
Tengeneza tatizo, litatue, uonekane shujaa
Hahahaha, huna mchezo ngosha! 😆😅🤣😂Nilishazima simu wana bahati
Ulitaka atokee mkoa gani wewe bwege acha ubaguzi!!Nilisema haijawahi kutokea waziri wa Fedha kutokea mkoa wa singida tangu nchi ipate uhuru. Sasa yameonekana. Jiuzulu babu
Mmmhhh...wabunge wenyewe hao wa viti maalum...bashiru...polepole...Wale wabunge wa CCM kule bungeni ndio wajue kelele za wananchi nje ya bunge zina nguvu zaidi ya maamuzi yao "kipofu" ya kugonga meza, na kuitikia ndio, hili liwe fundisho kwa wote, spika wa bunge , naibu wake, wabunge wote wa CCM na mawakala wao (Covid 19), na Rais anaetia saini sheria bila kufikiria.
Hiyo picha hapo utafikiri ni watu wa maana kumbe ni washenzi tu
Sijui wataficha wapi aibu wale waliokuwa wanaipigia debe humu humu jamii forum. Bunge kibogoyoWale wabunge wa CCM kule bungeni ndio wajue kelele za wananchi nje ya bunge zina nguvu zaidi ya maamuzi yao "kipofu" ya kugonga meza, na kuitikia ndio, hili liwe fundisho kwa wote, spika wa bunge , naibu wake, wabunge wote wa CCM na mawakala wao (Covid 19), na Rais anaetia saini sheria bila kufikiria.
ingekuwa hii ni nchi ya kiarabu sasa hivi dunia ingesikia kuna Arabic spring imetokea yakumtoa ccm
Majaliwa yupo angalia huyu mjinga,sijui alipataje uwaziri wa fedha,anakumbuka siku ile anawakilisha bajeti akimtukana Magufuli,anasema lazima wewe ung'oke hapo wizarani
Hakuna Cha usikivu, kelele za watu ndiyo zimefanya kaziMama ni msikivu sana. Mwigulu alipotosha baraza kwa hizi kodi za mshikamano
Majaliwa mkate iyo jamaa kibao!Kuna ujumbe kwenye picha, PM ame bend kwa nyuma kidogo nahisi amepata manyunyu toka kwa Madelu
View attachment 1859913