Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
Mnadhani ni ukweli kabisa ya kwamba Majaliwa kassimu Majaliwa alikuwa na taarifa za kifo wa Chuma JPM,

alafu akamua tuu yeye kusema JPM yuko mzima. Doest it make clear sense in your head ?

Mpaka leo !?
Acha Kiherehere ( Waganda wanasema Lugezigezi ) sawa? Ni wapi katika ama Headline au Thread Content ametajwa Kassim Majaliwa Kassim? Acha kujifanya upo na huwa unakuwepo sana Ubongoni ( Akilini ) mwangu sawa?
 
Mnadhani ni ukweli kabisa ya kwamba Majaliwa kassimu Majaliwa alikuwa na taarifa za kifo wa Chuma JPM,

alafu akamua tuu yeye kusema JPM yuko mzima. Doest it make clear sense in your head ?

Mpaka leo !?
Angejinyamazia tu, je Waziri mkuu hata kupiga aimu kwa rais ilikiwa hairuhusiwi kuliko kudanganya?
 
Nimeshamalizana na Fundi leo kwa Kunichimbia Shimo zuri tu la kuwa nahifadhia Pesa zangu pale nikianza Kuzipata kwani kwa sasa sina Hela kutokana na Umasikini ( Unyonge ) wangu ulionitukuka.
Mkuu
Ngombe 6,600_0.JPG
Ukwasi ulionao si wa kitoto....

Hili ni moja ya zizi lako hapo nchi jirani....
 
Hebu nitokee hapa Mnafiki mkubwa.
Mkuu bado nasimamia msimamo wangu yaani kukubaliana kutokukubaliana.
Unaweza kuongeza tusi tu ili mradi uridhike na ufurahi.
Nabaki palepale uwasilishaji mbaya ila hoja nzuri.
 
"Muongoza kikao ni mwongo..... " hapo umenichekesha sana.
Wewe Friji za kwa Mzena zimeshaanza 'Kumgandisha' Mtu halafu bila haya ( aibu ) anakuja 'Kutudanganya' kaongea nae na anapiga Kazi tusiwe na wasiwasi.

Ni mwana Simba SC Mwenzangu ila tokea 'atudanganye' ile Siku yaani simuamini tena na nimejiuliza kwa Uwongo aliobarikiwa nao akikutana na hao wa 'hovyo hovyo' Wenzake Wawili watakuja na Jambo gani la 'Kiutatuzi' ambalo walishindwa Kulichanganua kwa Kina na Kuliamua kabla ya kulileta Kwetu Wananchi Masikini ( Wanyonge ) Sisi?
 
Mkuu bado nasimamia msimamo wangu yaani kukubaliana kutokukubaliana.
Unaweza kuongeza tusi tu ili mradi uridhike na ufurahi.
Nabaki palepale uwasilishaji mbaya ila hoja nzuri.
Nimekulazimisha uufungue Uzi wangu?
 
Back
Top Bottom