Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Siasa mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes alidanganyaMnadhani ni ukweli kabisa ya kwamba Majaliwa kassimu Majaliwa alikuwa na taarifa za kifo wa Chuma JPM,
alafu akamua tuu yeye kusema JPM yuko mzima. Doest it make clear sense in your head ?
Mpaka leo !?
Acha Kiherehere ( Waganda wanasema Lugezigezi ) sawa? Ni wapi katika ama Headline au Thread Content ametajwa Kassim Majaliwa Kassim? Acha kujifanya upo na huwa unakuwepo sana Ubongoni ( Akilini ) mwangu sawa?Mnadhani ni ukweli kabisa ya kwamba Majaliwa kassimu Majaliwa alikuwa na taarifa za kifo wa Chuma JPM,
alafu akamua tuu yeye kusema JPM yuko mzima. Doest it make clear sense in your head ?
Mpaka leo !?
Dude halijasainiwa! Au aliye-upload kwenye website ameitoa wapi hii sheria?Tumsaidiaje ikiwa alisaini mwenyewe?
Angejinyamazia tu, je Waziri mkuu hata kupiga aimu kwa rais ilikiwa hairuhusiwi kuliko kudanganya?Mnadhani ni ukweli kabisa ya kwamba Majaliwa kassimu Majaliwa alikuwa na taarifa za kifo wa Chuma JPM,
alafu akamua tuu yeye kusema JPM yuko mzima. Doest it make clear sense in your head ?
Mpaka leo !?
Nahisi ni mwanaume.Is he your bro ?
MkuuNimeshamalizana na Fundi leo kwa Kunichimbia Shimo zuri tu la kuwa nahifadhia Pesa zangu pale nikianza Kuzipata kwani kwa sasa sina Hela kutokana na Umasikini ( Unyonge ) wangu ulionitukuka.
Who knows? [emoji2369]Nahisi ni mwanaume.
Au ni wa jinsia ya kike?
Uzi una tatizo gani? Tena ni Uzi Bora tu.Nakuunga mkono....ila huu uzi hauna maisha!
Tokea awe Waziri Sura imekuwa Ngumu.Wa 3 naweza kukubaliana na ww kwa mwonekano wake wa leo,wkt wakitutangazia watakaa kuziangalia upya tozo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu bado nasimamia msimamo wangu yaani kukubaliana kutokukubaliana.Hebu nitokee hapa Mnafiki mkubwa.
Wewe Friji za kwa Mzena zimeshaanza 'Kumgandisha' Mtu halafu bila haya ( aibu ) anakuja 'Kutudanganya' kaongea nae na anapiga Kazi tusiwe na wasiwasi."Muongoza kikao ni mwongo..... " hapo umenichekesha sana.
Nimekulazimisha uufungue Uzi wangu?Mkuu bado nasimamia msimamo wangu yaani kukubaliana kutokukubaliana.
Unaweza kuongeza tusi tu ili mradi uridhike na ufurahi.
Nabaki palepale uwasilishaji mbaya ila hoja nzuri.
Hujanilazimisha.Nimekulazimisha uufungue Uzi wangu?
Ninakubandua lini?Hujanilazimisha.
Una jingine mwamba?
Hahaaa ...😂😂😂Ninakubandua lini?
Kukupa tu 'Utamu' tukuka Unyabengani.Hahaaa ...😂😂😂
Hapo ndiyo umemaliza kabisa kuitumia dopamine yako?
Kubandua binadamu ndiyo nini?
Sawa nimekuelewa mkuu.Kukupa Utamu tukuka Unyabengani.
Je, nakubandua lini?Sawa nimekuelewa mkuu.