Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Wanaosema hivyo ni watu wa kuwasamehe bure tu mkuu
 
Mkuu, 300K inakaa vizuri sana katika wallet kama pesa sio chakavu...
Kukaa inakaa kwa tabu lakini, hata kama ziko bukubuku, sema tu jiandae kutembea kama dondola
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani ulikuwa umetokea bar gani?
kalale 'zikikuisha kichwani' utagundua 'ulipozidondoshea' 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…