Huyu papa siye kabisa toka day one. Huu ukatoliki naweza uacha tu.

Ona sasa hata uhalalishaji wake ni kauli za kitatakitata mtupu.

Hivi mwanaume kwa mwanaume wakioana mbona hata ile kutimiziana ni jambo la kulazimisha katika uchafu?

Hata isingekuwa imani au dini au kitu gani, ile asilia pekee inagoma kabisa?

Ni uchaguzi wa kishenzi hata wanyama hayawani hawaendekezi.

Lakini una shangaa wapo viongozi wa imani wana jaribu kushawishi ueneaji wa tabia hovyo kabisa.

Kwamba kiongozi wa imani ana chagua mashoga kama kundi la kutetewa kwa nguvu zote katika makundi yote yanayoteseka hapa duniani.

Kuna maskini, wagonjwa, wanaokufa vitani sehemu mbalimbali duniani nk.

Hao wote si kitu. ila mashoga waonewe huruma kweli? Yaani baba aone huruma kwa mwanae wa kiume kutaka kuolewa na mwanaume mwenzake?

Sasa naafiki kuwa kazi ya shetani inaelekea kufanikiwa.

Nadhani huku Afrika imefika wakati kuachana na hizi imani za kuletwa.

Maana ni uthibitisho kuwa zilitumika kwa malengo ya kutuangamiza kimwili na kiroho.

Inakera.
 
1 Kor 6:9-11

1 Kor 6:9-11 SUV

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi
 
Dhambi sio uhalifu duuh
 
Ni kweli Kanisa halibariki na halitokuja kubariki sababu hakuna mwenye mamlaka hiyo. Ila hizi confusion ndio zinazochanyanga hata waamini na kufikiri Kanisa linalegeza mafundisho yake.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Confusion husababishwa na aina ya reporters. Wengi huichukua kauli ilivyo na kwenda kuipambanisha dhidi ya uelewa wa waumini na kui report in a way itaonekana wakubwa wanayumbisha misingi.

Huu msimamo haujaanza na Pope Francis, uliwahi pia kutolewa na Pope J8hn Paul II, tofauti kipindi kile reporters hata kama si non bel8vers wa RC, walipoenda kuhoji maswali walizingatia mafundisho na misingi ya Kanisa wakapata ufafanuzi na walipoenda ku report, zili columns mbili za mwisho walikua wakirejea utamaduni na mafundisho ya kanisa.

Siku hizo wanabeba kauli ili wakagombanishe au wakachukulie points tatu mitaani na mitandaoni.
 
Umeanza vizuri sana ila umekuja kumaliza vibaya, kwenye mtungi kamnyweso hapo umetukosea sana yaaani mimi nilewe niwe sawa na aliyefirwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…