Basi wasalimie hao rafiki zako FREE MASONS HALL.
Mimi walinikatalia kujibu swali langu lolote lile.
Ilibidi ukaulize kama nilivyo kuelekeza. Ulete mrejesho.Lakini inaonekana hutaki. Basi lielewe hilo hilo Holi.
 
....usitende dhambi tena!
Hiyo ni kauli ya Yesu.
Papa yeye anawaambia mashoga ni haki yao kwa hilo tendo. Hapa hakuna majuto ya tendo wala cha kutubia.
Utafanya je jambo kuwa la haki kisheria halafu tena utake litubiwe?
 
Wafia dini mmekuja kufia dini[emoji1787][emoji1787] waafrika kazi kweli kweli
 
Kosa la papa ni kuisemea Dunia yote, ushoga sio uhalifu kwao lakini kwa Jamii zingine duniani ni uhalifu. Mfano urabuni, afrika kuna ukatoliki huko ushoga ni dhambi na uhalifu pia.
Papa kachemka
Mkuu Showmax nimeshajaribu kulifafanua hili kwamba Pope kama kiongozi wa Kanisa Catholic kote duniani alichosema,ni kwamba kila Askofu ktk taifa linalopinga ushoga aendelee kupinga as long as havunji sheria za nchi husika lakini wale ambao tayari mataifa yao yanautambua huu ujinga waendelee kuishi nao wakiwafundisha namna ya kuuacha bila kutoa matamko makali ya kuwakimbiza ktk imani.

Iko live papa amejaribu kuwa neutral Catholic inatambua tatizo lipo mashoga wapo na tunasali nao dini zote wapo kasoro wengine hawawezi kusema haya wakiogopa kuhisiwa vibaya na wafuasi wa dini husika,ndiyo ni kosa ktk taifa A lakini taifa B kwa mujibu wa sheria zilizowekwa na nchi zinaitambua hii tabia so lazima itafutwe namna ya kufanya ili kuwatoa hawa ktk hilo shimo nayo ni kuwaruhusu kuingia Kanisani kusali huku hawabaguliwi.
 
Mtu anamlala mtoto wako wa kiume hadi anageuka shoga unasema hajafanya uhalifu ?

Hivi upo timamu kweli wewe ?
Au ndio usha possesses mi demons.
Kumkosea Mungu ni uhalifu namba moja.
Huyo papa kawazuga tu. Katumwa na Rusifer.
Umesema Mtu analala na Mtoto wako wa kiume hadi anakua Shoga je kwanini lawama na mateso vinarudi kwa Shoga na sio yule Mtu aliyemuharibu Mtoto hadi akawa Shoga? Umeona sasa point ya Papa, mashoga ni victims hawapaswi kuhukumiwa bali kusaidiwa kwanini nyinyi mnawanyanyapaa, mnawasimanga na kuwaua?
 
Kikubwa hajatamka shekhe[emoji1545][emoji1545]

Maana kuna nyoka aina ya koboko zingetema sumu balaa,
 
Basi wasalimie hao rafiki zako FREE MASONS HALL.
Mimi walinikatalia kujibu swali langu lolote lile.
Ilibidi ukaulize kama nilivyo kuelekeza. Ulete mrejesho.Lakini inaonekana hutaki. Basi lielewe hilo hilo Holi.
Hayo maneno yanatoka kwenye kunywa chako. Hakuna sehemu niliyoasema ni marafiki zangu usiniwekee maneno mdomoni ambayo sijayaongea.hilo kukataliwa kujibu swali halinihusu huenda ikawa ni stori YAKO binafsi. Nilijaribu tu kusema sijawahi kuona jengo limeandikwa kanisa la freemason ILA lipo jengo limeandikwa freemason HALL.
 
Unalawitiwa huripoti, huoni kuwa hujatimiza majukumu yako.
Mashoga wana roho za Ushoga.
Roho za Rusifer.

Lengo tusizaliane

Lengo ni kupinga Amri ya Mungu ya Kuijaza dunia.

Lengo kuu ni kutokuwa na watu duniani.

Hivi wewe ukiwa Shoga kuna mtoto atazaliwa kwa uwezo wako ?

Unaiua mboo ili usizae ili kusiwe na watu duniani.

Huoni kuwa huo ni mpango Hasi ?
 
Basi wasalimie hao rafiki zako FREE MASONS HALL.
Mimi walinikatalia kujibu swali langu lolote lile.
Ilibidi ukaulize kama nilivyo kuelekeza. Ulete mrejesho.Lakini inaonekana hutaki. Basi lielewe hilo hilo Holi.
Halafu kwenye midaharo au hoja jaribu kuifanya akili YAKO iwe flexible na openness. Kwenye midaharo au hoja kama hizi huwa watu wanajifunza ILA kama utaendelea kukaza kichwa utajifunza zaidi. Lilikuwa ni swala la kusema tu nimekosea nilimanisha freemason HALL
 
Ungeweka kesi mojawapo, na hapa ninamaanisha wale mashoga wa hiyari, sio mtoto ameingiliwa kwa nguvu (maana hii inaangukia kwenye ubakaji)
Ipo kesi ilifunguliwa mwaka 2020, walishitakiwa wanaume 7, na nakala za mashtaka nilikuwa nazo
 
Sijui anacho bisha nini,jengo lipo nyuma pale ya ifm hakuna sehemu wameweka ni kanisa
 
Mbona kama umebadili mada?
Kwa hiyo hapo tena unamlaumu mtoto kua alilawitiwa hakuripoti huo ndio uhalifu wake??
Bado tena wasema Mashoga wana roho za Ushoga wakati umesema kuna Watu wanalawiti Watoto wadogo hadi wanakua Mashoga,

Tushike lipi hapo ewe Che Mittoga?

Ps; ni Lucifer sio Rusifer
 
Poi
Ushawauliza kama wana Kanisa ?
Au umeshafika tayari ?

Waulize wakikataa uje useme humu.
Point yako na unacho ambiwa Ni vitu tofauti,unachotaka kusema Ni kitu kingine,Ila elewa kwanza unachoambiwa ndio ufike uko unataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…