Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Basi wasalimie hao rafiki zako FREE MASONS HALL.Ndio boss. Ila wengi freemason HALL ndiyo huwa WANASEMA kanisa lakini sijawahi kuona jengo limeandikwa kanisa la freemason ILA wengi watakuonyesha freemason HALL hoja yangu ni hilo neno KANISA. Ndo mana nikamuuliza limeandika kanisa la freemason mimi picha za freemason HALL zipo kwenye mitandao hata wewe unaweza kuiona ILA jengo lililoandikwa KANISA LA FREEMASON ndiyo linalotatiza huenda labda sijatembea sana. Unaweza kutumia pic ya hilo jengo lililoandikwa KANISA LA FREEMASON?
Mimi walinikatalia kujibu swali langu lolote lile.
Ilibidi ukaulize kama nilivyo kuelekeza. Ulete mrejesho.Lakini inaonekana hutaki. Basi lielewe hilo hilo Holi.