Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
ipo siku Papa atasema kanisa linakubaliana na ushoga,nasema ipo siku kama sio Papa huyu basi anaefata.
Kuna haja gani sasa ya kusema ushoga sio kosa wakati zipo nchi ushoga ni kosa na wanahukumiwa?,kiongozi wa Dini jambo kama hili baya la ushoga alitakiwa anyooke kwamba ushoga ni dhambi full stop.
Ni wapi aliposema kuwa ushoga si dhambi?
Hawa keyboard worriors ni wanafiki kuliko kawaida.

Mabingwa wa uzinzi, ufisadi na ufiraji lakini wana ujasiri wa kulaani ushoga!

Papa yuko sahihi sana. Hataki mbambamba na UNAFIQ.
Sure!
Kwa haki, Papa huyu amesisitiza mara kwa mara kwamba SISI SOTE NI WENYE DHAMBI, na yeye mwenyewe akiwemo.
Watu wananyoosha vidole kwa mashoga wakati wao wenyewe ni wadhambi wakubwa.
It's really absurd!
 
Alichofanya papa ni sawa na kumkuta mwizi anapigwa mawe, ukatuliza kadamnasi yakuwa mwizi hapaswi kupigwa kwakuwa kuna haki za binadamu na kumpiga ni kumvunjia haki yake BILA kusema kuwa alichofanya mwizi ni KOSA/DHAMBI na anastahili hukumu.

Hawa viongozi wa dini wako kiupigaji zaidi hawakemei dhambi directly just ni kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.

Nadhani wengi hamjamuelewa vizuri,hakuna aliyemkamilifu kila mtu ni mtenda dhambi,na hakuna dhambi kubwa wala ndogo mbele ya mizani ya muumba.
 
Kwani hata ukiacha ukatoliki unapunguza nini?

Wewe ni sisimizi tu. Umelikuta Kanisa na utaliacha.

Potea!
Mimi ni sisiminzi tena huenda hata hiyo hadhi ya sisiminzi ni kubwa sana.

Lakini ushoga sio kitu cha kutetea wala kuendekeza iwe kiimani au kivyovyote vile.

Kama mwanaume mwenye watoto wa kiume huwezi endekeza, labda tu uwe huna watoto au hujali.

Unao waita sisiminzi watakuwa wengi, mwisho lengo kuu la watetea ushoga litakuwa limetimia.

Labda hayo ndio mafanikio yanayo tafutwa.
 
Ningeshangaa kuona papa akikataa haki za hawa waenda kinyume na maumbile baada ya rais wa marekani kufanya hilo jambo kuwa la kisheria.
Ni hivi katika biblia kuna lugha ya mafumbo, ikimzungumzia shetani kama joka jekundu, ambaye mamlaka yake ya ukinyume na Mungu hayo mamlaka ameyakaimu kwa mwanamke aliyepanda juu ya farasi mwenye kikombe cha machukizo ambae ni kanisa(asi) na kuna wanyama wawili mmoja wa baharini(maji mengi) na mwingine wa nchi kavu ambao wote huyu wa màji mengi ni mamka za serikali na wa nchi kavu kwenye low population ni dini (roma).
Wote wana mamlaka waliyovuviwa na yuke joka na hata kunena maneno makuu ya makufuru kinyume na Mu gu.
Swali la kujiuliza kwa huyu papa labda atoe ufafanuzi wake ni je kuna jambo gani ambalo msingi wake ni haki halafu jambo hilo hilo la haki likawa dhambi?
Kinachoonekana kwa papa ni kukosa uhiari baada ya marekani kutangaza kuwa ngono za jinsia moja ni la haki na la kisheria.
Wanyama hawa wawili wana mwingiliano usioweza kuachanishwa.
Papa ametangaza tendo hilo kuwa haki kinyume na mtaguso uliotangulia wa wakatoliki hao hao kuwa ngono za jinsia moja ni vurugu dhidi ya asili akitumia mamlaka yake ya kiti kama vile ambavyo Biden alivyotumia mamlaka ya urais kuhalalisha ushoga dhidi ya hukumu za mahakana za marekani zilizokataa jambo hilo huko nyuma.
 
Hawa keyboard worriors ni wanafiki kuliko kawaida.

Mabingwa wa uzinzi, ufisadi na ufiraji lakini wana ujasiri wa kulaani ushoga!

Papa yuko sahihi sana. Hataki mbambamba na UNAFIQ.
Wanafira ila hawajioni wao ni mashoga ila wanajiona madume ya nyani. Kuwa na tahadhari sana na yule anayeshupaza sana kupinga kitu fulani, nafsi yake inamuhukumu na kumsumbua.
 
Ni wapi aliposema kuwa ushoga si dhambi?

Sure!
Kwa haki, Papa huyu amesisitiza mara kwa mara kwamba SISI SOTE NI WENYE DHAMBI, na yeye mwenyewe akiwemo.
Watu wananyoosha vidole kwa mashoga wakati wao wenyewe ni wadhambi wakubwa.
It's really absurd!
Ushoga unatakiwa kupingwa vikali,Mungu alishawai kuwachoma moto mashoga hapa Duniani.ushoga ni uchafu usiokubalika wala kuzoeleka.mwanaume unainamishwaje unapigwa paipu huo ni ushenzi mbaya sana.
 
Ni wapi aliposema kuwa ushoga si dhambi?

Sure!
Kwa haki, Papa huyu amesisitiza mara kwa mara kwamba SISI SOTE NI WENYE DHAMBI, na yeye mwenyewe akiwemo.
Watu wananyoosha vidole kwa mashoga wakati wao wenyewe ni wadhambi wakubwa.
It's really absurd!
Hawa Keyboard Worriors wamezoea kusikia kauli tata za kuhamasisha makasiriko.

Papa kazungumza Ukweli. Kasema watu wote wana dhambi, hakuna mtu mwenye haki ya kuhukumu mwingine.

Ukweli mchungu. Sasa hawa Keyboard Worriors wanataka papa aseme mashoga wauwawe!! Na wanajiita WAKRISTU.

Kristu gani wa makasiriko huyo wanayemuabudu?
 
Kanisa la machoko
Kaka bujibuji siku moja karibu parokiani tusali!!!Usishangae kanisa letu la machoko kaka au umesahau na lile dhehebuwanaowala ndogo wanaume wenzao na wake zao na wanaume kupaka hena wana tofauti gani na kanisa la machoko??????Tofauti ni papa kua muwazi ila dini zingine wanaficha wanafanya behind scenes kaka???
 
Huyu papa siye kabisa toka day one. Huu ukatoliki naweza uacha tu. Ona sasa hata uhalalishaji wake ni kauli za kitatakitata mtupu.
Ni suala la upeo tu, inategemea na elimu yako. Hata hivyo Ukatoliki huwa hawalazimishi waumini, ndio maana utaona wanakufundisha halafu wanakuacha uamue mwenyewe, ukienda kwenye mafuta sawa tu, kwenye maji sawa tu
 
Zote hizo ni dhambi, na hakuna mtu mwenye 'uchumba sugu' aliyetengwa, otherwise haujaelewa maana ya kutengwa. Ukitengwa na Kanisa, siku ya kurudi ni lazima ukiri upya imani mbele ya kanisa. Pengine labda unachanganya kati ya kuzuiwa sakramenti na kutengwa. Wenye vizuizi vya sakramenti hawajatengwa, na kila siku huwa tunao jumuiyani na makanisani ili waelewe umuhimu wa kuishi katika ndoa takatifu
Ndugu baadhi ya majimbo watu walio kwenye uchumba sugu wananyanyasika na wanachukuliwa kama wahalifu kwenye kanisa.
Embu fikiri mtu anatakiwa kupewa upadre au usista, nazuiliwa kisa kuna ndugu yake hajafunga ndoa!
Bado unazuiliwa hizo sakramenti, bado huduma ya ibada ya mazishi unazuiliwa kis uchumba sugu, huko sio kutengwa huko.

Leo hii anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja kanisa linamtambua na kumtetea, lakini anae kaa na mke kwa ruhusa ya wazazi hawatakiwi kanisani kisa hawajaenda mbele ya Padre!

Kwa hiyo shoga kufanya ushoga ni dhambi dhambi sio uhalifu! Sawa.

Lakini mtu analala na mwanamke aliyeruhusiwa na wazazi wake ni kosa, au shoga ana heri kuliko huyu?
 
Kukaa kimya nako ni kutotekeleza wajibu. Lazima viongozi wa dini wawajibike kurekebisha jamii, na mashoga huwezi ukawatengenezea kisiwa chao wakae peke yao, lazima wahubiriwe neno wakiwa katika jamii zetu.
Vipi wakitengenezewa kisiwa chao na wakawa wanahubiriwa huko huko kuliko kuendelea kuspoil na vijana wengine hasa madogo zetu wanaokua na wenye tamaa ya fedha
 
Hawa Keyboard Worriors wamezoea kusikia kauli tata za kuhamasisha makasiriko.

Papa kazungumza Ukweli. Kasema watu wote wana dhambi, hakuna mtu mwenye haki ya kuhukumu mwingine.

Ukweli mchungu. Sasa hawa Keyboard Worriors wanataka papa aseme mashoga wauwawe!! Na wanajiita WAKRISTU.

Kristu gani wa makasiriko huyo wanayemuabudu?
Mungu mwenyewe ndo aliwachoma moto mashoga kaonyesha mfano vile mnatakiwa mfanywe,mnatakiwa mchomwe moto nyinyi ni najisi hamfai kuishi.
 
Kanisa katoliki Ujerumani ndiyo kanisa tajiri zaidi/Pato kubwa, hao wanaofanya Pato liwe kubwa wameusadiki ushoga, so kanisa linatambaa na biti maana kanisa ni watu.
Kaka usisahau na lile dhehebu ambalo kila alhamisi wanawake wanasema ni suna kuliwa ndogo na watoto wa kiume kupaka hena!!!Kweli kabisa kaka madhehebu au imani ni watu
 
Back
Top Bottom