Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa
Ka
Usipanick, tujadiliane kwa staha, we umejuaje kuwa Wasukuma ndio wengi Runzewe na viunga vyake?
Ndio! Nikwambie kitu wasumbwa kwanza ni jamii ndogo, pili ni watu wasiopenda kujichnganya na huwa wanajificha sana wasifahamike! Nataka nikwambie Runzewe satu wengi ni wasukuma, wahutu, wanyambo , wasumbwa na waha kwa kiasi! Kweli pale ni kwao lamini si wengi kutokana na jamii yao kuwa ya wachache!
 
Ka
Ndio! Nikwambie kiti wasumbwa kwanza ni jamii ndogo,pili ni satu wasiopenda kujichnganya na huwa wanajificha sana wasifahamike! Nataka nikwambie Runzewe satu wengi ni wasukuma,wahutu,wanyambo na wasumbwa kwa kiasi! Kweli pale ni kwao lamini si wengi kutokana na jamii yao kuwa ya wachache!
Wewe unajua Watu wote wanaoongea Kisukuma ni Wasukuma?
 
Kuna maelfu ya Wahutu wanaongea Kisukuma unalijua hilo?
 
Wewe unajua Watu wote wanaoongea Kisukuma ni Wasukuma?
Sio kweli ila nikwambie tu! Hiyo mji yote na kahama,masumbwe, Runzewe, bukori ni ya wasumbwa na ilikuwa pori! Wasukuma ni wahamiaji na ni wengi kwa sasa na kupelekea kuimeza hiyo jamii! Hata kama inatokea mtu kusema sio kila anayeongea kisukuma ni msukuma tayari inaonesha domination ya jamii yenye lugha inayotumika! Hata ukienda Runzewe stendi kisukuma ndio utakisikia zaidi kuliko kisumbwa na hapo tayari inakupa picha kuwa wasumbwa sio majority!
 
Sio kweli ila nikwambie tu! Hiyo mji yote na kahama,masumbwe, Runzewe, bukori ni ya wasumbwa na ilikuwa pori! Wasukuma ni wahamiaji na ni wengi kwa sasa na kupelekea kuimeza hiyo jamii! Hata kama inatokea mtu kusema sio kila anayeongea kisukuma ni msukuma tayari inaonesha domination ya jamii yenge lugha inayotumika! Hata ukienda Runzewe stendi kisukuma ndio utkisikia zaidi kuliko kisumbwa na hapo tayari inakupa picha kuwa wasumbwa sio majority!
Kuongea lugha ya Kisukuma hakumfanyi mtu kuwa Msukuma.

Na kwasababu hakuna takwimu haya ni makadirio tu huenda labda Wahutu wanaoongea Kisukuma wakawa ndio wengi kuliko hata Wasumbwa na Wasukuma combined.

Leo Raisi mpendwa amekaribishwa na Ngoma za Kirundi nilishangaa sana.

Msukuma amefanywa Trojan horse bila ya yeye kushtuka .

Anyway Ndoho tabu.
 
Kuongea lugha ya Kisukuma hakumfanyi mtu kuwa Msukuma.
Hujanielewa! Runzewe kwa wasumbwa wahamiaji wamekuwa wengi na wahamiaji wanakuja na lugha yao wanawakuta mna lugha yenu kwa kuwa wamekuwa wengi kuliko nyinyi lugha yao inaanza kutumika zaidi kuliko ya kwenu nanyi mnaanza kujifunza lugha yao hao wageni walio wengi! Lamini pia shughuli nyingi za huko ni uchimbaji na biashara ambayo kwa sehemu kubwa wasumbwa si Watu wa kazi hizo! Wasumbwa ni wafugaji wa nyuki
kuanzia misitu ya masumbwe mpaka nyakanazi kwa sehemu kubwa!
 
Unajua kama Msukuma hata akienda Mtwara Vijijini analazimisha kuongea Kisukuma?
Kulazimisha haitoshi kama mko wachache mtabaki kuwasiliana nyinyi tu! Kuna baadhi ya maeneo kama Morogoro wasukuma wako ila ukifika utakuta lugha ya wenyeji ndio inatumika kwa kuwa wenyeji bado ni wengi! Pia hata mwanza mjini kwa sasa kwa kuwa wahamiaji ni wengi huwezi kukuta kisukuma kinatumika kwa sehemu kubwa kama ilivyo shinyanga ambayo wahamiaji bao wachache!
 
Kulazimisha haitoshi kama mko wachache
Nadhani ignorance ya Msukuma huijui au kwasababu fulani fulani huwezi kuiona.

Anyway mjadala ulikuwa mzuli, wenye kuelimisha, ningeoenda tuufungulie thread nyingine ili huu wa overpopulation tusiu derail.
Nahene lolo.
 
Nadhani ignorance ya Msukuma huijui au kwasababu fulani fulani huwezi kuiona.

Anyway mjadala ulikuwa mzuli, wenye kuelimisha ningeoenda tuufungulie thread nyingine ili huu wa overpopulation tusiu derail.
Nahene lolo.
Ni kweli wasukuma wanaonekana ignorant kwa vile tulishakririshwa kuwa hawa ni Watu pori! Ila ni Watu wenye mambo wengi mazuri kimaendeleo! Wako sekta zote nyeti nchi hii zenye uzalishaji na maendeleo ndani na nje ya nchi! Shkurani sana!
 
Dah, kweli chuki hupofusha macho aisee! Sikutegemea kuona hoja hii aisee.
 
Ukitaka kujua umuhimu wa watu wengi waulizeni Ukrain, wakati wao wanamibilise watu 15000 Mrusi yeye anamobilise watu 300,000 alafu unaenda pambana naye
 
Kuzaaa zaa hovyo ni sera ya jiwe, huyu mwenezi wa CCM naye hana akili kama anaamini kwenye watu kuzaa hovyo kisa miradi
Huku Tanzania na Dunia ikikabiliwa na ukame na njaa
, ukosefu wa ajira, uvamizi wa vyanzo vya maji, uvamizi wa misitu, machinga kujaa mitaani na kuziba barabara halafu unawaambia watu wazae watoto 9?
Mzilankende Mnyago Alisema Zaeni Elimu Ni Bure
 
Nakubaliana na Mwenyekiti wangu kwa [emoji817]%,haiwezekani uwepo wa madarasa , huduma za afya na wawekezaji iwe kigezo Cha watu kuzaliana hovyo ,

Kuzaa Kuna maaana pana sana, yaani chakula, mavazi pamoja na malazi, haiwezekani mtu azae harafu watoto wanatembea matako wazi, wanashindia mlo mmoja na mahali wanapolala hata mbwa wa dimond hawezi kupumzika hata kwa dakika moja

Rais asiishie hapo tu, watu waelimishe, ikibidi kuwe na Sera ya taifa watu wazae mwisho watoto watatu tu,

hapa ninapoishi Kuna jirani yangu, kula kwake Hadi aje kunichotea maji ndo apate pesa ya matumizi,chakusikitisha ana watoto wanne,na juzi tu mke kajifungua mtoto wa tano,Sasa unabaki kujiuliza anamzalia Nani,au Kuna mahali mwenzangu nanampango wa kwenda kuuza hao watoto!!? Huwa natamani kumchalaza bakora Ila Basi tu.
Ndugu yangu yaani kwa kweli, ni shida aiseee, tatizo idadi kubwa ya watu inakuwa na faida kama asilimia kubwa ya population hiyo ni ' productive' na siyo sehemu kubwa ni ' consuming population tu,kama ilivyo Tz........ midomo inakuwa mingi isiyozalisha, mwisho wa siku, inakuwa mzigo kwa serikali na wananchi kupata huduma stahiki............. ni umaskini wa kujitakia!
 
Back
Top Bottom