Hahha sikutaka kucomment ila comments za waja zimenichekesha sana. Kwamba wamepanda majinja!! 😃

Issue hapa sio ajabu wao kupanda bus, ila ni wao kufanya matanuzi ya gharama yasioyokua ya lazima katika nchi zao, msafara kutoka ikulu hadi St. peters tu pale convoy magari kama 20 hivi wakati kimsingi huku kwetu hata hatari za kiusalama hakuna, ni basi tu ilimradi watutishe na kututetemesha mabarabarani.

Huko wakikutana hata kwenye mikutano ya UN, wanageuka machawa wa Marais wengine. They have no influence at all.
 
Usihangaike mkuu, haters wameishiwa hoja kwahiyo sasa ni mwendo wa kuokoteza kila wanachokihisi......la kuchekesha ni kuwa kadiri wanavyoonyesha chuki zao ndivyo wanavyozidi kuonekana hamnazo mno! Sikutegemea km hawa haters ni wapuuzi hv aisee!!!!!
Ujinga wa mwafrika tu .
 
Huku kwetu "wakuu wa nchi" wanaingia kwa misafara. Ataanza wa Rwanda, Kenya, Tz, Botswana, nk. Wao tu kuingia ni shughuli ya masaa, huko wa malkia wote wamepandishwa Mbezi-Kivukoni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti wamepandishwa Nini?
 

Mabodigad wa maraisi wamewekwa wapi raisi wetu akidhuliwa?
 
Acha ushamba wewe [emoji35] waliokuwa na magari yao ni rais wa marekani na Israel basi!
The rest ni mabasi!
Mijitu yenye uwelewa finyu ni shida humu jukwaani walahi!
Majitu mazima ovyooooooo walahi [emoji2959]
Weka picha ya Marais wa nchi kubwakubwa wakiwa kwenye mabasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…