Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Wivu tu, yule Samia ni Rais, wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hata angepanda bajaji au uber, haimuondolei utukufu wake ! Wewe ndio utabaki kuteseka, kwenye hilo basi umemuona Samia peke yake? Pili tofautisha ziara za kiserikali na kuhudhuria msiba wewe Yule yupo msibani hajaenda kufanya anasa.
 
Biden tu ndio yuko exempt kwa usalama maana maadui ni wengi

Hii Habari aliitoa waziri kuwa ili kupunguza msongamano hata Heathrow haikutumika kwa kupokea wageni mashuhuri
Na pia waliambiwa waje wachache sana yaani kama ni Rais na mke/mume tu na wachache sana
Wote wametua Luton na Stansted na helicopter marufuku

Kupandishwa bus ni sawa tu kupunguza msongamano
La sivyo barabarani tusingepita
Ila na humo kama kuna adui yako ni nkonzi tu haha
Wewe ni muongo na hujui kitu, sio Biden tu aliyeruhusiwa bali maraisi wengi wa mataifa makubwa Kama France, Israel n.k

Pili hakuna foleni yoyote maana kwenye mikutano ya UN maraisi wengi Sana huudhuria na wote hupewa usafiri wao.

Ulipaswa kusema Kama wenyewe wameamua utaratibu uwe huo ni sawa. Na huenda ndio utaratibu wao
 
Sasa ni haters kivipi? Kuna hoja ya msingi hapa. Tunapoteza rasilimali nyingi kwa magari ya kifahali na kuwekana kwenye foleni kuwasubiri wapite wakati kumbe inawezekana kabisa kwao kufanya kazi kwa ufanisi kwa gharama nafuu.
🤣🤣🤣
Uko sahihi tatizo tu ni kuwa mtoa mada hakusema wala kumaanisha hivyo.
 
Kwendraaaaaa huko
Sasa si ndo ukweli wenyewe, au wewe ulikua huoni masaa yote anapulizwa na feni, na KWa mantiki Iyo angekuepo na akaenda kwenye mazishi nani angeangaika kuweka feni, Kama leo tu wazima wamebebwa kwenye daladala,

Unafikili walikosa hata gari ya kubeba watu watano watano, mpaka wote rundikwa kwenye coaster,
 
k
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
kwanza hangeenda angetuma mwakilishi lkn naona Ruto yeye anafurahia tu bado anaona kama muujiza kuwa rais.
 
Wamejiweka daraja la chini sana wakienda uko Duniani yani viongozi wetu wakienda uko wanakuwa wanyonge wakati wao ni matajiri tatizo lipo hapo.
Mkuu hii sababu inaonyesha harujui tunataka nini.
Angetumia msafara mkubwa tungepiga kelele kuwa wanatumia TOZO vibaya.
Kwa ujumla Watanzania tumjikuta hatujui tunataka nini haswa.
 
Ni Viongozi wote wa Duniani isipokuwa Biden na PM wa Israel tu
View attachment 2361399

Acha uongo wewe.

Rais wa ufaransa kapanda basi?

Japanese prime minister?

Canadian Prime Minister?

Germany chancellor?
IMG_2565.jpg
 
Wewe ni muongo na hujui kitu, sio Biden tu aliyeruhusiwa bali maraisi wengi wa mataifa makubwa Kama France, Israel n.k

Pili hakuna foleni yoyote maana kwenye mikutano ya UN maraisi wengi Sana huudhuria na wote hupewa usafiri wao.

Ulipaswa kusema Kama wenyewe wameamua utaratibu uwe huo ni sawa. Na huenda ndio utaratibu wao
Ndio utaratibu huo walipanga tangu alipofariki na kweli wapo wafalme wa nchi tofauti pia ila wamepunguza sana kuwa na msongamano
Kwani hujaona leo asubuhi jinsi Biden alivyokwama central London akielekea Buckingham Palace? Mbona ipo kila mahali

Halafu uwe na ustaarabu ukiwa unatumia mitandao ya kijamii
Heshima izingatiwe kwani kama una la kuongeza ongeza tu ila ntapita kimya kama ni tabia uliyolelewa na wazazi wako wakiwa wanatukanana mpaka mtaa unajaa sikushangai mpo wengi na nawahurumia sio kosa lenu bali wazazi
 
Back
Top Bottom