Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Wivu tu, yule Samia ni Rais, wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hata angepanda bajaji au uber, haimuondolei utukufu wake ! Wewe ndio utabaki kuteseka, kwenye hilo basi umemuona Samia peke yake? Pili tofautisha ziara za kiserikali na kuhudhuria msiba wewe Yule yupo msibani hajaenda kufanya anasa.