Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Mbona Biden au PM wa Israel hawajapandishwa hayo Mabus sasa?Hivi nyie watu muko na matatizo?
Kuna ubaya gani ikiwa most head of state wamepandishwa basi?
Huyo magufoool hata kualikwa asingealikwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Biden au PM wa Israel hawajapandishwa hayo Mabus sasa?Hivi nyie watu muko na matatizo?
Kuna ubaya gani ikiwa most head of state wamepandishwa basi?
Huyo magufoool hata kualikwa asingealikwa
[emoji3][emoji3]Hata Bus wamependelewa sana,ingependeza zaidi viongozi wote wa Africa wapande bodaboda kama zinapatikana huko ubeberuni.
Bus ni Bus tu hata lingekuwaje? Kina Biden kwanini wasipande hayo Mabus sasa kama yana hadhiWabongo wanadhani hilo busi ni kama yutong za kwetu.
Umeanza mjadala vizuri ili nije kujibu kukutoa tongotongo, alafu mwishoni unaanza vitisho. Unamtisha nani hapa? Wewe ni mwehu?Ndio utaratibu huo walipanga tangu alipofariki na kweli wapo wafalme wa nchi tofauti pia ila wamepunguza sana kuwa na msongamano
Kwani hujaona leo asubuhi jinsi Biden alivyokwama central London akielekea Buckingham Palace? Mbona ipo kila mahali
Halafu uwe na ustaarabu ukiwa unatumia mitandao ya kijamii
Heshima izingatiwe kwani kama una la kuongeza ongeza tu ila ntapita kimya kama ni tabia uliyolelewa na wazazi wako wakiwa wanatukanana mpaka mtaa unajaa sikushangai mpo wengi na nawahurumia sio kosa lenu bali wazazi
Hawakuandaa hayo magari hao walikuja wamebeba na magari yao na walinzi wao wa kuwalindaMbona Biden au PM wa Israel hawajapandishwa hayo Mabus sasa?
Tusikuze mambo. Naamini hata katika arrangement hiyo,itifaki na heshima ya hadhi za marais wote hao imezingatiwa.
Wewe unaweza kukaa angani?Tatizo lugha, London like Kingereza chake cha kuungaunga angeongea na nani?
Pili ile betri aliyowekewa kwenye moyo hawezi kukaa angani Massa mengi.
Unadhani Marais wa Africa wangekubaliwa kwenda na Magari yao hata kama uwezo huo wangekuwa nao?Hawakuandaa hayo magari hao walikuja wamebeba na magari yao na walinzi wao wa kuwalinda
Watakuwa wanaangalia kwenye TV kama sieHalafu wamo wengi wengi,
sasa wale wabeba mabegi lazima watembee lya miguu
Sikutishi ila nataka ujifunze namna ya kuchangia hojaUmeanza mjadala vizuri ili nije kujibu kukutoa tongotongo, alafu mwishoni unaanza vitisho. Unamtisha nani hapa? Wewe ni mwehu?
Tusikuze mambo. Naamini hata katika arrangement hiyo,itifaki na heshima ya hadhi za marais wote hao imezingatiwa.
Sawa mzungu wa lancashire ila mlichowafanyia marais wa africa kuwasondeka kwenye daladala moja sisi huku tumefurahi sana bongowabongo mnanongwa!!!
mtakufa mapema sana kwa roho mbaya na ujinga ulio pitiliza!!
ujinga ujinga mwingi hadi mnazeeka.
Mbona kama anaona noma vile😀😀Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Leo umekuwa mtetezi wa mwenyekiti wa ccm?Mbona juzi kati hapa amepanda kwenye boat toka Zanzibar? Wacheni ushamba,kitu cha msingi ni usalama wake umezingatiwa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app