Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Hivi nyie watu muko na matatizo?
Kuna ubaya gani ikiwa most head of state wamepandishwa basi?
Huyo magufoool hata kualikwa asingealikwa
Mbona Biden au PM wa Israel hawajapandishwa hayo Mabus sasa?
 
Ndio utaratibu huo walipanga tangu alipofariki na kweli wapo wafalme wa nchi tofauti pia ila wamepunguza sana kuwa na msongamano
Kwani hujaona leo asubuhi jinsi Biden alivyokwama central London akielekea Buckingham Palace? Mbona ipo kila mahali

Halafu uwe na ustaarabu ukiwa unatumia mitandao ya kijamii
Heshima izingatiwe kwani kama una la kuongeza ongeza tu ila ntapita kimya kama ni tabia uliyolelewa na wazazi wako wakiwa wanatukanana mpaka mtaa unajaa sikushangai mpo wengi na nawahurumia sio kosa lenu bali wazazi
Umeanza mjadala vizuri ili nije kujibu kukutoa tongotongo, alafu mwishoni unaanza vitisho. Unamtisha nani hapa? Wewe ni mwehu?
 
Umeanza mjadala vizuri ili nije kujibu kukutoa tongotongo, alafu mwishoni unaanza vitisho. Unamtisha nani hapa? Wewe ni mwehu?
Sikutishi ila nataka ujifunze namna ya kuchangia hoja
Sikuwa na haja ya kutisha ila bado unaniita mwehu
Sikushangai najua wa aina yako utazidi kutukana kwani ndio malezi uliyokulia
Pole ni kawaida tu
 
Tusikuze mambo. Naamini hata katika arrangement hiyo,itifaki na heshima ya hadhi za marais wote hao imezingatiwa.

Kwa hiyo Watu wote Duniani wanayojadili hilo swala wanakuza mambo? Nani aliyepiga hiyo picha au unafikiri ni mleta mada ndiye aliyeipiga na kuirusha? Ukiona hiyo picha imetoka Duniani ujue watu wanashangaa na kustaajibishwa na ndiyo maana picha imetoka, kwani kuna picha ngapi wamepiga kwa nini hiyo ndiyo i trend?
 
Back
Top Bottom