Ahsante kwa ufafanuzi huu, kwa hakika umenijibu kistaarabu sana ahsante.

Hoja yangu kuu ni hii precedence iliyowekwa na tukio hili, si jambo dogo kwa uhuru wa nchi husika. Kwakweli huu umauti wa huyo kiongozi na historia yao, ilikuwa nafasi ya kuionyesha dunia kuwa wamejuta na wapo na dunia katika kuhakikisha kila utu unaheshimiwa, tofauti na mategemeo, wao wameonyesha kuwa wanaamini bado ni bindamu wa daraja la kwanza na wengine ndiyo wanafuata...Ni maoni binafsi na ukiona dunia karibu yote imekuwa concerned hili jambo si dogo!
 
Viongozi wengi wa Africa ni wa hovyo sana!

Ktk hii picha ukiwaangalia wengi hawakuwa comfortably humo kwenye bus hata huyo Samoa mwenyewe ameona noma yaani wanajikuta kama wao ni class flani hivi hawatakiwi kupanda kitu tofauti na SUVs,ndege au boat spesho ila muangalie Ruto Rais wa Kenya anaonekana kabisa kufurahia kitendo hicho.
 
Mkuu huwa majibu ya hasira mpaka nitukanwe bila kosa
Kuna mdau kanitusi kisa nimeandika mawazo yangu

Huwa naingia forums nyingi na kuna ustaarabu wa hali ya juu

Turudi kwenye mada
[emoji636] kwa miaka 71 wametawaliwa na Malkia huyu huyu kwa hiyo wengi wanamjua huyu tu imagine tangu Winston Churchill
Kwa hiyo wana haki kuifanya ya kihistoria
Angalia Wafalme wangapi wamekuja na wengi wana uhusiano pia na falme ya hapa

Ni historia tu mkuu na hata protocol zingine zimevunjwa leo
 
Mama kakimbilia siti ya dirishani 🤠🤠
 
Huyu anaanza kutawala Uingereza mwaka 1952 Putin anazaliwa kwao Russia. Ni mtu mashuhuri na mwenye ushawishi mkubwa.
 
Viongozi wako mia 5 kila mtu angepanda gari yake ungetegemea nini ! Mtoa post k.Ma y.ko

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Bidden ni nani?
Marekani pia ilikuwa koloni kama Zimbabwe/Rhodesia!

Acha kupaniki, tuliza akili utayagundua mengi.

Anyways, msibani hakuna protokali kama wengi mnavyotetea je, hata suala la rangi za kanda moja kuwekwa eneo moja nalo halikuachi na shaka ya ubaguzi?
 
Hii mada mbona ni ya kitoto sana kiasi cha serikali kuitolea maelezo. Hapo kuna rais wa Kenya pembeni, ina maana na wao serikali itatoa maelezo?.

UK ni ndogo na ratiba ni ngumu siku zote muda hautoshi, hivyo wakaamua wapunguze msongamano kwa kuwapandisha mabasi kwa ajili ya kuwasafirisha baadhi ya wageni.
 
Mi bado najiuliza wapambe na machawa wa msafara Leo wako wapi? Yan wanavyojionaga wanatupush na mikwara tukae mbali Leo na wao wewekwa kwando aiseee [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1476] carma is real
Leo nao wakijikuna tu watajikuta central ya london 🤠🤠🤠 nyavuni
 
Aliwezaje kupata seat ya dirishani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…