Ahsante kwa ufafanuzi huu, kwa hakika umenijibu kistaarabu sana ahsante.Mkuu ukiangalia usalama wa taifa hili wameamua iwe hivyo na ukiangalia jinsi walivyo jipanga wameweka kila aina ya ulinzi tunavyoona na tusivyoviona
Jana nilipita London wamemwagwa wanajeshi yaani ni wengi kuliko police na usalama usiseme kila ukipita lazima gari isomwe namba kwa mitambo yao
Nilifuatwa na Gari ya police dakika kadhaa wakaona huyu hana kitu
Wamezingatia kila kitu kuwalinda watu wote na usalama pia labda litokee tu
Kuhusu waliopanda mabasi ni wengi sana hata Rais wa Germany na Rais wa Italy na Wafalme wote wamepanda Bus
Ila wa Qatar sijui ukiherehere kasimamishwa dakika 20
Mama na wengine wako salama kabisa na wana enjoy selfie haha
Hii operation haijawahi kufanyika hapa maisha View attachment 2361793View attachment 2361794
Hoja yangu kuu ni hii precedence iliyowekwa na tukio hili, si jambo dogo kwa uhuru wa nchi husika. Kwakweli huu umauti wa huyo kiongozi na historia yao, ilikuwa nafasi ya kuionyesha dunia kuwa wamejuta na wapo na dunia katika kuhakikisha kila utu unaheshimiwa, tofauti na mategemeo, wao wameonyesha kuwa wanaamini bado ni bindamu wa daraja la kwanza na wengine ndiyo wanafuata...Ni maoni binafsi na ukiona dunia karibu yote imekuwa concerned hili jambo si dogo!