Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Wetu HuyoKwa hiyo serikali itakuja kufafanua jinsi ambavyo Rais alipandishwa chakito ya Uk nasio Ngorika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2361895
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wetu HuyoKwa hiyo serikali itakuja kufafanua jinsi ambavyo Rais alipandishwa chakito ya Uk nasio Ngorika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2361895
Mnahangaika sawa, ufafanuzi wa kitu gani sasa tusichokijua?Kutokana na sintofahamu iliyo likumba Taifa baada ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kupanda basi huko London inasemekana Serikali italitolea Tamko jambo hilo.
Ikumbukwe, mapema leo mheshimiwa Rais alijumuika na viongozi wenzake wa Afrika ndani ya usafiri wa basi la abiria kuelekea eneo ambalo mwili wa Hayati Elizabeth ulipo-kuwepo kwa ajili ya kuagwa.
Mheshimiwa Rais alifanikiwa kupata/kukaa seat pendwa ya dirishani.View attachment 2361758
Hii camera ni simu gani mbona picha kali ivyo ??Kutokana na sintofahamu iliyo likumba Taifa baada ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kupanda basi huko London inasemekana Serikali italitolea Tamko jambo hilo.
Ikumbukwe, mapema leo mheshimiwa Rais alijumuika na viongozi wenzake wa Afrika ndani ya usafiri wa basi la abiria kuelekea eneo ambalo mwili wa Hayati Elizabeth ulipo-kuwepo kwa ajili ya kuagwa.
Mheshimiwa Rais alifanikiwa kupata/kukaa seat pendwa ya dirishani.View attachment 2361758
Tumefilisika fikraKutokana na sintofahamu iliyo likumba Taifa baada ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kupanda basi huko London inasemekana Serikali italitolea Tamko jambo hilo.
Ikumbukwe, mapema leo mheshimiwa Rais alijumuika na viongozi wenzake wa Afrika ndani ya usafiri wa basi la abiria kuelekea eneo ambalo mwili wa Hayati Elizabeth ulipo-kuwepo kwa ajili ya kuagwa.
Mheshimiwa Rais alifanikiwa kupata/kukaa seat pendwa ya dirishani.View attachment 2361758
Just imagine sheria za nchi kuhusi taasis ya urais wameivunja bila.kujali, meaning wanauwezo wa kumwambia Amiri jesho yetu mkuu chochote bila madhara yoyote ya kidiolomacy kwao...Hiyo precedence iliyowekwa leo na hiyo familia na nchi yao kama dunia isipolaani haitakuwa poa kabisa na sisi taasisi yetu ya urais ijifunze, isirudie kosa kama hili hata siku moja na watuombe radhi wananchi kwakutushushia heshima ya Jamhuri yetu.Mkuu hayo ya kupandishwa mabasi ni power relations tu. Ni yule anayejihisi mkubwa kutaka kumwonyesha yule anayemwona mdogo kuwa hilo basi ndiyo nafasi yake anayostahili. Ogopa sana mkuu wa nchi kuchukulia hilo jambo kwamba it's OK. Israel ni nchi ndogo sana na wala haipo kwenye G7 but those guys believe and think as if they rule the world. Na prime minister wao hawezi kukubali kupandishwa basi. Ni haya matakataka ya kiafrika tu.
Ndo wakome sasEndelea kusikitika
View attachment 2361920
Siwalaumu sana wandewa, haya yanatokea kwakuwa huku home mambo hayaendi.. Vilio ni vingi, maumivu ni mengi na kila kukicha afadhali ya jana.. Tozo ni kizungumkuti kikubwa sana kinacholeta simanzi kubwa kwenye jamiiHivi ndugu zangu tumeenda msibani au tumeenda kustarehe? Ufahari msibani wa Nini sasa? Mnataka ufahari msibani? Tambueni ya kuwa viongozi wote wa jumuia ya madora wapo pale, Kama Kila mmoja wao atapewa usafiri wake itawachukua siku nzima kuwasafirisha Hadi eneo la tukio au nasema uongo?
Tuweni basi hata na akili kidogo ya kuchanganua mambo! Ooh mama kapanda Basi hii ndio Nini? Kapanda Basi la viongozi Basi tuishie hapo full stop. Tunabwabwaja weee utafikiri tumeenda harusini!
Tuweni wastarabu basi huko ni msibani sio harusi nyie ndio mnao kosa sahani ya wali msibani unalalamika Hadi kwa mkeo "hata sijala" ulienda kuzika au kula wali? Ashakumu si matusi kwaherini.
Wabongo bwana! Poleni na msiba.
Tatizo siyo yeye kama individual, ni madaraka yake ambayo ni utu wa taifa letu...Hao wamejiweka kama viongozi wa dunia ndiyo maana yake otherwise wangetafuta jinsi ya kuonyesha wana honor sovereignty ya mataifa ya dunia na kuheshimu watu wa hizo nchiWenye uelewa mdogo ndio wataongea kama kawaida yao. Wamepanda mabasi marais wa nchi za Asia hao waafrika ni kina nani?.
Mbona Magufuli alimpandisha basi la mwendokasi mgeni wake toka ulaya ambaye alikaa siti ya dirishani, ila ulaya hawakulalamika kwa ubaguzi wetu.Kutokana na sintofahamu iliyo likumba Taifa baada ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kupanda basi huko London inasemekana Serikali italitolea Tamko jambo hilo.